Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.

Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho kitakuwa na agenda maalum ambazo zitawekwa wazi wakati wa mkutano huo, na kuongeza kuwa wasanii na watengeneza maudhui mitandaoni wana nafasi kubwa katika kuelimisha, kuhamasisha na kujenga uelewa wa wananchi kuhusu masuala mbali mbali kutokana na ushawishi walionao kwa jamii.

Miongoni mwa wasanii walioitwa Sentro ni pamoja na Godfrey Tumaini(Dudu Baya), Twalib(Anko T)
Gift Stanford(Gigy Money), Burton Mwemba(Mwijaku), Mwanya, Juma Lokole, Mwijaku, Maimartha na wengineo.

1788329397255.png

​
 
View attachment 3661562
Juma Lokole nadhani ameitwa ili kuonywa aache umbea wa kike kwenye vipindi vyake vya redio.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.

Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho kitakuwa na agenda maalum ambazo zitawekwa wazi wakati wa mkutano huo, na kuongeza kuwa wasanii na watengeneza maudhui mitandaoni wana nafasi kubwa katika kuelimisha, kuhamasisha na kujenga uelewa wa wananchi kuhusu masuala mbali mbali kutokana na ushawishi walionao kwa jamii.

Miongoni mwa wasanii walioitwa Sentro ni pamoja na Godfrey Tumaini(Dudu Baya), Twalib(Anko T)
Gift Stanford(Gigy Money), Burton Mwemba(Mwijaku), Mwanya, Juma Lokole, Mwijaku, Maimartha na wengineo.
View attachment 3661562
Mbona karibia 95% ya Wanaume walioitwa hapa ni 'Pancha' tupu?
 
DUDUBAYA kumkalisha meza moja na mashoga, hili lazima atakuja kuwasimulia watu wake liliendaje.

Infact kuwatumia watu maarufu mitandaoni ili wamsifie Mkulu sifikiri kama litazaa matunda wanayotarajia.

Kujifungamanisha na Sisiemu kwa kipindi hiki, kunapoteza mvuto na hata kuharibu Jina mtu alilotengeneza miaka mingi kwa Jasho, Machozi na Damu. Ni kuwaharibia tu UGALI wao hao vijana wadogo kutaka wawe machawa.

Anyways, Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.
 
DUDUBAYA kumkalisha meza moja na mashoga, hili lazima atakuja kuwasimulia watu wake liliendaje.

Infact kuwatumia watu maarufu mitandaoni ili wamsifie Mkulu sifikiri kama litazaa matunda wanayotarajia.
Hao ni content creators wameitwa kwa mkakati maalum sio peke yao hao ni wale wanaojulikana sana ila wapo wengine wengi tu wameitwa wote kwa mkakati maalum wa praise and worship
 
Back
Top Bottom