Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 820
- 3,618
DUDUBAYA kumkalisha meza moja na mashoga, hili lazima atakuja kuwasimulia watu wake liliendaje.
Infact kuwatumia watu maarufu mitandaoni ili wamsifie Mkulu sifikiri kama litazaa matunda wanayotarajia.
Kujifungamanisha na Sisiemu kwa kipindi hiki, kunapoteza mvuto na hata kuharibu Jina mtu alilotengeneza miaka mingi kwa Jasho, Machozi na Damu. Ni kuwaharibia tu UGALI wao hao vijana wadogo kutaka wawe machawa.
Anyways, Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.
Nilisema hapa, huyu Ndugu vita yake na Mashoga ni kubwa sana, naona amemkatalia Waziri za sosho midia huko.