Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Juma Lokole nadhani ameitwa ili kuonywa aache umbea wa kike kwenye vipindi vyake vya redio.Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho kitakuwa na agenda maalum ambazo zitawekwa wazi wakati wa mkutano huo, na kuongeza kuwa wasanii na watengeneza maudhui mitandaoni wana nafasi kubwa katika kuelimisha, kuhamasisha na kujenga uelewa wa wananchi kuhusu masuala mbali mbali kutokana na ushawishi walionao kwa jamii.
Miongoni mwa wasanii walioitwa Sentro ni pamoja na Godfrey Tumaini(Dudu Baya), Twalib(Anko T)
Gift Stanford(Gigy Money), Burton Mwemba(Mwijaku), Mwanya, Juma Lokole, Mwijaku, Maimartha na wengineo.
View attachment 3661562
Mbona karibia 95% ya Wanaume walioitwa hapa ni 'Pancha' tupu?Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho kitakuwa na agenda maalum ambazo zitawekwa wazi wakati wa mkutano huo, na kuongeza kuwa wasanii na watengeneza maudhui mitandaoni wana nafasi kubwa katika kuelimisha, kuhamasisha na kujenga uelewa wa wananchi kuhusu masuala mbali mbali kutokana na ushawishi walionao kwa jamii.
Miongoni mwa wasanii walioitwa Sentro ni pamoja na Godfrey Tumaini(Dudu Baya), Twalib(Anko T)
Gift Stanford(Gigy Money), Burton Mwemba(Mwijaku), Mwanya, Juma Lokole, Mwijaku, Maimartha na wengineo.
View attachment 3661562
Anaenda kuchimbwa mikwara asiseme watu watapigwa miti? Au anaenda kutoa ushahidi wa namna kina lokole wanafokolewa mitaro?Yu bela woch yua baki
Wanaenda kuambiwa waanze kumsifia mamaAnaenda kuchimbwa mikwara asiseme watu watapigwa miti? Au anaenda kutoa ushahidi wa namna kina lokole wanafokolewa mitaro?
Dudubaya je?Mbona karibia 95% ya Wanaume walioitwa hapa ni 'Pancha' tupu?
Bora tucheze pungufuMbona karibia 95% ya Wanaume walioitwa hapa ni 'Pancha' tupu?
Hao ni content creators wameitwa kwa mkakati maalum sio peke yao hao ni wale wanaojulikana sana ila wapo wengine wengi tu wameitwa wote kwa mkakati maalum wa praise and worshipDUDUBAYA kumkalisha meza moja na mashoga, hili lazima atakuja kuwasimulia watu wake liliendaje.
Infact kuwatumia watu maarufu mitandaoni ili wamsifie Mkulu sifikiri kama litazaa matunda wanayotarajia.
Ila huu with Kuna mtu hatorudiKikao gani central mhhh labda niende na wakili wangu kudadeki
Mbona karibia 95% ya Wanaume walioitwa hapa ni 'Pancha' tupu?
Apo kuna wapigwa miti kwenye matter core na mtangaza watu wapigwa miti kiufupi hapo kuna miti imepigwa
Dudu baya kawapiga vita sana mashoga leo hii anaenda kusuruhishwa central π