Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Vijana wengi wanakua wapumbavu kwasababu ya kusaka unafuu wa maisha kwenye nafasi za kazi na teuzi za serikaliChuo Kikuu chenye Wavivu wengi wa Kufikiri. UDSM ilikuwa ni zamani ila sasa ina Vilaza lukuki.
Why? Is privatization something new to you?Dp world Tanganyika haitakiwi
Mbona hata wewe hamna kitu? Maana ukiwasikiza wanaopinga DP World wanasema Bandari imeuzwa ,swali ni kweli imeuzwa?95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra.
Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima natamani hawa DP World wasiishie tu kuzichukua Bandari zetu zote, Maziwa na Mito yetu pamoja na Vijito hadi Mabwawa yote kama wakitaka, bali watununue na hata sisi Watanzania na Taifa letu la Tanzania liwe lao.
Vyuo Vikuu vya sasa (ukikiondoa tu Chuo Kikuu kilichobarikiwa na Mungu cha SAUT Mwanza) havizalishi Rational and Critical Thinkers bali vinazalisha sana walalamikaji, wakurupukaji na wapenda mihemko katika Mijadala yenye kuhitaji Akili Kubwa kuijadili.
Nimeona kwenye TV bana, yani University level haya matoto yanacheza kiduku na kushake, pumbavu kabisa.Udsm sahv wanakata mauno tu chuo
Ova
Lakini kuongea mbele za watu ni sanaa, mtoa mada ,haitaji elimu ya udsm kuwa MTU mzungumzaji.kuna wengine sio watu wa kuongea licha ya kwamba ni wasomi lakini kiutendaji ni moto wakuotea mbali
Huwezi kujua unachokizungumza halafu ukawa na baridi au aibu au kigugumizi kukizungumza. Unatia mashaka.
Kuna mwaka tulifukuzwa kwa muda kama wa miezi 6/7 wengi tukajua ndio imeisha safari ya elimu ya juu.. kwa kosa la kugoma, kipindi cha Hayati Mzee Mkapa.
Waliosalia walikuwa first year, lengo la serikali lilikuwa ni kuzalisha kizazi kitakachoogopa mamlaka, si kuheshimu, ili vyuo vipoe na vitawalike.
Imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 12 hakujawa na migomo katika vyuo vikuu, hii haimaanishi Hali ni nzuri sana, ila serikali imefanikiwa kutengeneza kizazi Cha wasomi wenye inbuilt hofu ya mamlaka na wenye mamlaka.
Tatizo ni kuwa na wasomi wasiojiamini, wavivu wa kwenda extra mile.. as a result persistence na that urge to defy the status quo for the pursuit of knowledge and excellence inakufa among wasomi, wengi sio wanaishia kuheshimu mamlaka tuu, ila wanaishia kuheshimu notice za mwalimu tuu.. now that's deadly
Ndio maana chuoni kulikuwa na ku-present kazi Mbele ya Darasa. Moja ya lengo lilikuwa kujenga kujiamini Kwa Vijana.
Sasa kama kijana alikuwa anakimbia ku-present Hilo nikosa lake.
Msomi yeyote wa level ya Shahada lazima awe na uwezo wa kusimama Mbele za Watu na kujieleza au kueleza Jambo Fulani na lieleweke. Akubali kukosolewa na ajibu Kwa Hoja
Kaka robert huwa nakukubali sana, hujawahi niangusha kiukweli huwa najifunza sana kutoka kwenye post zako, ni mtu wa logic na siyo kuendeshwa na hisia
Kuna wewe, yupo kiranga, kuna mtu anaitwa scars kama sikosei, kuna mtu anaitwa Smotor, kuna someone kisai aseee mbarikiwe sanaππ
ππΎππΎ
Barikiwa Sana Mkuu.
Ukiwa MTU wa Logic unakuwa na Amani na MTU pouwa.
Inakuwa rahisi kuelewa wengine ingawaje wao wanaweza kutokukuelewa Kwa kung'ang'ania ushabiki
Acheni kuwalaumu wanazuoni....ni vema sasa kuona kuwa wa kulaumiwa ni mfumo mzima na kiwanda cha kuzalisha hawa mnaowaita wasomi kuanzia primary hadi chuoni ni uozo....maana wanatema walichofundishwa...kwa ujumla elimu hii ya sasa hapa tz ni kupoteza muda na resources hasa pesa.95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra.
Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima natamani hawa DP World wasiishie tu kuzichukua Bandari zetu zote, Maziwa na Mito yetu pamoja na Vijito hadi Mabwawa yote kama wakitaka, bali watununue na hata sisi Watanzania na Taifa letu la Tanzania liwe lao.
Vyuo Vikuu vya sasa (ukikiondoa tu Chuo Kikuu kilichobarikiwa na Mungu cha SAUT Mwanza) havizalishi Rational and Critical Thinkers bali vinazalisha sana walalamikaji, wakurupukaji na wapenda mihemko katika Mijadala yenye kuhitaji Akili Kubwa kuijadili.
Mfikirie anayetoa huo u dr yupoje na ametokana na nani, ndio uje kuhangaika na hawa ma dr uchwara.Mkuu umenena vyema
hawa watu wa kuitwa wasomi kichwani ndo hakuna kila kitu.wanalingana na wasio soma tu
sijui hata huo u dr wanaupataje ni aibu
Bongo balaaMfikirie anayetoa huo u dr yupoje na ametokana na nani, ndio uje kuhangaika na hawa ma dr uchwara.
Na hii ya kuzalishq kizaz cha uwoga, kizaz cha kufatilia mambo ya burdan tu,jamaa wamefanikiwaHuwezi kujua unachokizungumza halafu ukawa na baridi au aibu au kigugumizi kukizungumza. Unatia mashaka.
Kuna mwaka tulifukuzwa kwa muda kama wa miezi 6/7 wengi tukajua ndio imeisha safari ya elimu ya juu.. kwa kosa la kugoma, kipindi cha Hayati Mzee Mkapa.
Waliosalia walikuwa first year, lengo la serikali lilikuwa ni kuzalisha kizazi kitakachoogopa mamlaka, si kuheshimu, ili vyuo vipoe na vitawalike.
Imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 12 hakujawa na migomo katika vyuo vikuu, hii haimaanishi Hali ni nzuri sana, ila serikali imefanikiwa kutengeneza kizazi Cha wasomi wenye inbuilt hofu ya mamlaka na wenye mamlaka.
Tatizo ni kuwa na wasomi wasiojiamini, wavivu wa kwenda extra mile.. as a result persistence na that urge to defy the status quo for the pursuit of knowledge and excellence inakufa among wasomi, wengi sio wanaishia kuheshimu mamlaka tuu, ila wanaishia kuheshimu notice za mwalimu tuu.. now that's deadly
Usiingize bangi takatifu kwenye huo upuuzi wenu.Tz inawasomi au wavuta bangi waliosoma? Upuuz mtupu