Malumbano ya Hoja ITV: Mfumo wa Muungano wa Serekali tatu

Malumbano ya Hoja ITV: Mfumo wa Muungano wa Serekali tatu

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Mfumo wa muungano wa serikali tatu. Je, ni kuimarisha au kudhoofisha muungano ?watu watakuwa wakilumbana itv saa tatu tufuatilie kwa pamoja wakuu.
 
Hivi huyu mchaga nani mwenye cv yake mbona itv wanapenda sana kumwalika kwenye hiki kipindi
 
Deaus kibamba anasema rasim zote mbili hazizungumzii rasilimali za taifa
 
Tatizo Pole pole anaongea na wajinga wengi wa ccm wamejaa pale
 
Kuna mchungaji mmoja anatafuta kujikomba serikalini sana; atakuwa anafanya biashara ya mihadarati huyu
 
Naona leo wameamua kukusanyana wanaCCM wanaopinga serikali tatu ila kuna jamaa mmoja anasupport serikali tatu (nadhani yuko peke yake) kawagonga kwa data safi sana hata sijui kama watamjibu!!!!
 
Naomba kufahamishwa leo ITV wametumia kigezo gani kuchagua wachangiaji wa kipindi au ndio kampeni zimeanza?
 
Kwa kuangalia kipindi hiki, unaweza kubaini kuwa wajinga ni wengi sana kwa kuwa hawajibu hoja za tume bali wanang'ang'ania serikali mbili!
 
Pamoja na Bwana Polepole kuwaelimisha awa watu walioudhulia kwenye kipindi wamehalibu mahana ya kipindi
 
wamejaa vijana wa lumumba wakiongozwa na mwasheria wa maccm wanapinga muungano kwa nguvu.
 
kama kweli ccm wanataka kuimarisha muungano wa tanzania....kwa nini wasidai tuwe na serikali moja tuuu badala ya tatu???
 
wamejaa vijana wa lumumba wakiongozwa na mwasheria wa maccm wanapinga muungano kwa nguvu.


dah naona jamaa walijipanga mapema kwenda kuvamia kipindi maana haiwezekani wote wakawa wanamshambulia warioba kwa kuleta wazo la serikali tatu. yaani ni aibu ukisikiliza maana jamaa wanaonekana wamepanga cha kuongea kabisa
 
Wamejaa vijana wa lumumba wanazungumza upuuzi na wengine awana uwezo wa kuzungumza
 
Watanzania ni wagumu sana kuelewa....Nina wasiwasi na hiki kipindi.


lumumba wamejaza mamluki buku 7 wote wanamtukana warioba kweli njaa mbaya sana washiriki wa leo wote ------------ nimeamua kuzima tv nilale tu
 
Watanzania ni wagumu sana kuelewa....Nina wasiwasi na hiki kipindi.

Kichwa kama cha MSALANI,SIMIYU YETU,LUSUNGO,LUKOSI NA SAMPLE Zingine kama hizo ndiyo unategemea waelewe kweli,Yaani magamba kichwani yamejaa madudu.
 
Back
Top Bottom