Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
lumumba wamejaza mamluki buku 7 wote wanamtukana warioba kweli njaa mbaya sana washiriki wa leo wote ------------ nimeamua kuzima tv nilale tu
Nakushauri uvunje tv ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lumumba wamejaza mamluki buku 7 wote wanamtukana warioba kweli njaa mbaya sana washiriki wa leo wote ------------ nimeamua kuzima tv nilale tu
Kwa mara ya kwanza nimekichukia kipindi,lumumba wameletwa na malori? Kitufe cha like kimerudi,nigongeeni basi
mimi naona ccm wamechanganyikiwa,nimesikitika kuona viti vyote vimejaa maccm,wakiongea pumba tupu na kumkebei warioba,nimeshangaa sana kumsikia,deosi kibamba,nikajiuliza huyu nae,ni kinyonga???? wote wameacha kujadili hoja wana,mjadili mtu ambae ni warioba,
Deaus kibamba anasema rasim zote mbili hazizungumzii rasilimali za taifa
Deaus kibamba anasema rasim zote mbili hazizungumzii rasilimali za taifa
Naomba kufahamishwa leo ITV wametumia kigezo gani kuchagua wachangiaji wa kipindi au ndio kampeni zimeanza?
well said
kama kweli ccm wanataka kuimarisha muungano wa tanzania....kwa nini wasidai tuwe na serikali moja tuuu badala ya tatu???
Watanzania ni wagumu sana kuelewa....Nina wasiwasi na hiki kipindi.
dah naona jamaa walijipanga mapema kwenda kuvamia kipindi maana haiwezekani wote wakawa wanamshambulia warioba kwa kuleta wazo la serikali tatu. yaani ni aibu ukisikiliza maana jamaa wanaonekana wamepanga cha kuongea kabisa
Kuna MPUUZI mmoja,kadai Jaji Warioba,lengo lake ni kumuangusha Kikwete. Na hakuwa akimuunga mkono,kwani alikuwa na mtu wake!
Wamejaa vijana wa lumumba wanazungumza upuuzi na wengine awana uwezo wa kuzungumza
ITV wanatumika!