Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party Mh Augustine Mrema leo ametangaza fedha alizonazo kwenye account yake ya benki. Mrema amesema ana shilling miilion 37 kwenye hiyo akaunti ambazo zimemzidi za Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Pinda ambaye hivi karibuni alitangaza kwamba ana shilling million 25 kwenye account yake.
Mrema amehoji kama ana fedha zaidi ya Waziri Mkuu Pinda iweje Sitta aseme hana uwezo wa kifedha. Kama yeye kafulia Waziri mkuu ni vipi......
Habari zaidi nikizipata...............................
UWT wakibongo hao at their game .... Mitambo ya dowans hiyo inanuliwa piga makofi tafadhali .....
Kwa hiyo according to you it doesnt matter kama Mrema katangaza ili kuthibitisha utajiri na si kwa sababu kaona kuna umuhimu wa kuzingatia sheria ya maadili ya umma!
Kuhusu Pinda,nadhani kuna sheria iliyomuongoza na si yeye tu hata mawaziri walitakiwa watangaze mali zao lakini hawakufanya hivyo na imekua inactive
Jamani who is Mrema?????? what made him to do that?
Mrema, Makamba, Kingunge hawa ni watu wa propaganda, sio kuwa hana akili unless hatujui propaganda ni nini.
yuko perfect kabisa hana tatizo na anaongea kwa makusudi akiwa na malengo yake.
Ukimwona Mrema hana akili basi bado haujui siasa ni nini.
This is now true Mrema!
yes to me it doesnt matter... and dont forget.. SITTA (your little hero) alisema amefulia.. sasa ametangaza ana hela kwenye account and he doesnt need some kind of public sympathy on how he lives his political life.. sasa sitta atasema nini this time...
Mi nafikiri hapa JF tunaloose credibility ya kujiita intelligence forum maana watru wanaongea pumba.. and some of us we still believe kutembea na miguu now and then or not to have VX, Range or bently then umefulia..
Ni aibu tupu... na sijui why on the earth we try kupigia kelele ufisadi if this is the case
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator
-...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.
- Mrema is no more politically
Mrema is the only son of tanganyika ambaye hajawahi kukiuka maneno yake. Is trie to himself. Kama anaona jk ndo anafaa atasema. Sio mnafiki akijua kwamba upizani bado kwa mbali sana.
Kwenye mshiko, huyu ni mstaafu wa serikali katika ngazi ya waziri. Na ni mtumishi wa siku nyingi. However afya yake sio nzuri coz of kisukari na we people tend to judge people based on how they look.
Question is. Why are these political leaders announcing there property & money now while they never used to do that in years of their public service? It seems now that it has become a political fasion for one to make himself as "poor" as possible.
My take: Members of Parliament & other holders of higher offices are paid a lot of money & bonuses. Right now the payments include but not exclusive to 6 mil base salary, 100,000 every parliament sitting & if I'm not mistaken something close to the amount of 50 mill apon parliament being dissolved. If they are being paid this much money & still have 27 mill in the bank then they are either liars or very bad with financing. I would not trust them to run the accounts of the country if even after their hefty pay they have such amounts in their accounts.
Mr Mrema was an MP, minister and even deputy prime minister for a very long time. Where did all the money go????
MwanaFalsafa, You got very good question here, but remember according to this post.. Mrema has just state how much he has in his saving account nothing more.. and this was response to Sitta accusation kwamba amefulia..
Asante umekubali alikuwa mchapakazi na afadhali unasema angekuwa dictator, dictator wa aina ya Mrema ungekuwa mazuri na kwa mafanikio kwa taifa( haya maoni yangu) nchi zetu hizi ili ziendelee zinahitaji dictator piga ua!, dictactors can be valuable to any country kama tu wanafanya mambo yaende kwa manufaa ya umma! that is how china it is today!
Nyerere na Sokoine walifeli kwenye hilo eneo
Sasa hapa Ben kwa mimi ndio huwa nauliza tatizo ni Mrema au sisi wananchi? Mrema alikuja kwa wananchi tukamkataa , kaenda huko na huko tumemkataa!, hii ni same story kwa wapinzani wote tusipowakubali watarudi nyuma! kurudi nyuma huko ni aidha akae kimya, au arudi CCM, ebu jiulize leo hii let say Slaa akasema hana hela ya kula kabisa, are we ready kuchanga fedha yeye na familia yake aishi?? it was the same kwa Lwamwai kasaga lami wakati kaporwa vyeti vyake na CCM, alikuwa hane mbele wala nyuma, just imagine froe being lecturer UDSM mpaka kuishia kuomba hela ya nauli! mtu ana familia yake!!!
watu wa aina ye Mrema watajitokeza sana, pale wanapoona future yao haiko clear, na wananchi hawana mpango nao, then nife kwa sababu mpinzani?
Tukubali tu vyama vya siasa vina udhaifu mwingi sana, lakini na sisi wananchi tunachangia mno kurudisha wapinzani nyuma!
Mrema atabaki kama mpinzani pekee bara ambaye rekodi yake haijaweza kuvunjwa kwa miaka 16! na inavyoonekana inaweza isifikiwe tena kama opposition wasipojipanga. Mrema is still above all kwa alichofanya, tena kumbuka alivuta watu kipindi Nyerere yuko hai!
Mrema anabaki mwana CCM pekee asiye mnafiki kujifanya unapigania ufisadi ukiwa ndani ya CCM! aliondoka bila kuangalia nyuma, na alitikisa nchi.
Mrema anabakia mtu pekee ambaye hata rekodi yake ya utendaji ndani ya wizara aliyoongoza hakuna aliyeweza kuvaa viatu vyake!
Na anabakia kuwa mtu pekee ambaye anakuwa muwazi wa kile anachokiamini hata kama hatukipendi, vinamfanya kuwa yeye! LOL!
Leo hii Mrema is still politician lakini anafaa zaidi kuwa CCM na kupiga kampeni akiwa CCM, na si vinginevyo, mafanikio na rekodi zake haziusaidii upinzani kwa sasa isipokuwa an haribu, tena vibaya mno
Well said Bigirita.. Mrema si mtu mnafiki.. he always stand by his words and what he believes.. kuwa mpinzani si kwamba inabidi ubishe for every little thing.. kama leo hii mtu yoyote ata JK akisema kitu ambacho akiungi mkono mrema hatamponda bila kuona haya.. na hili ndilo i will always remember him for...
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator
I used to be his dead fan but mhh...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.He should do better than this.Kuna watu wako hapa hawataki kusikia kitu kama hii nilioandika but ukweli ndiyo huo wapende wasipende Mrema is no more politically