kuomba radhi ni ishara ya uugwana.kwi kwi.. u made me laugh.. apology accepted.. mwambie Sitta aje JF kutuomba msamaha basi.. mwambie asione aibu tutamsameheee lol
kweli nikimuangalia Mrema kwa makini, nakumbuka mwaka 1995 , naumia kuona kua alikua anatudanganya, huyu ni mtu hatari.
hivi hakuna namna ambayo unaweza kumshitaki mwanasiasa ambaye kwa kumuunga kwako mkono ulijikuta unapoteza hata mke ama mume, kisha anakuja kukugeuka na kuungana na wale aliokwambia ni wahovyo ?
hakuna namna yakudai fidia kwa ushenzi huo ?
so what is relevant of this in red? Kwamba Mrema hakutakiwa kumcheka mwl kumpigia kampeni Mkapa? what is so wrong about that...
adui yako mwombee njaa,mzee kapigwa na njaa mpaka kasalimu amri,na akitaka kurudi chama cha majambazi nafasi zimejaa.Hapana, hapa kuna kamchezo kachafu kametokea, yawezekana tumechezewa, au ni changa la macho hili. Huyu Mrema wa sasa siye yule Augustino Lyatonga maarufu mzee wa Kilalacha, huyu wa sasa siye, ndio nalazimika kuamini kuwa "wachina" pengine wamefanya vitu vyao, au pengine ni zile tabiri zilizotolewa mwanzoni mwa mwaka huu na mbashiri yule wa pale magomeni, labda, lakini mwenzenu Mrema huyu wa sasa simwelewi, sijui amekutwa na nini jamani.
Hivi mwakumbuka kauli zake za toka 1995? hasa wakti akijiuzulu uwaziri wa Mambo ya ndani, ubunge na hatimaye kuhama chama na kwenda NCCR kabla ya kwenda uko aliko sasaivi?
Wana JF najua hapa ndo kisima cha yote haya, naomba mwenye kumbukumbu ya kauli za mzee wa Kilalacha tukumbushane jamani, je kweli huyu ndiye yule yule au pengine ni miye tu ndo namwona tofauti?
Mkuu get my point....
Mreama alikua anachekelea watu walipomzomea nyerere ,wakati huo watu walitoa hata matusi.Hali ya usalama lile eneo ilikua mbaya.so inaingia akilini Mrema huyu huyu anongelea maaandamano kama kielelezo cha kuvunja amani?
Mhh Ben, forgive me but i can't find anywhere Mrema amesema kwamba maandamano ni kama kielelezo cha kuvunja amani! Naomba unieleweshi hayo maneno aliyasema wapi na lini... asante
Huyu mzee binafsi na kwa siasa za wakati ule, namheshimu sana. Lakini tungeingia choo cha shomo kama angepata uraisi.....asingetoka ng'o!! huyu bana anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa dar hivi, au mkurugenzi wa jiji au angekuwa Kamanda Tosi flani hivi hapo sawa. Dictator kweli huyu.Ukitaka kujua tabia halisi ya mtu msubiri azeeke. Hii ndiyo tabia halisi ya Lyatonga. Wale walioigundua toka miaka ile walishasema alivyo tukawakejeli.
Ndio hivyo tena wahenga wanasema kila lililo na mwanzo halikosi mwisho na huo ndio mwisho wa mzee wetu wa kiraracha,inasikitisha sana but no way out.
Spika sitta nae kafulia tuache kumpamba najiuliza ni kwanini alifunga mjadala wa Richadmonduli kiyamela badala ya kushinikiza serekali itekeleze maazimio yote ya bunge yeye kakimbilia kuzima mjadala.
Pia ivumayo haidumu,debe tupu.......aaah sijui nini tena wanajua wahenga!!Ndio hivyo tena wahenga wanasema kila lililo na mwanzo halikosi mwisho na huo ndio mwisho wa mzee wetu wa kiraracha,inasikitisha sana but no way out.
mzee anaomba nafasi kiutuuzima mkuuNi sawa, lakini sometimes ni busara sana kukaa kimya kama unaona mambo yanaenda sivyo. Simwelewi Mrema kushabikia sisiemu ilhali bado ni mwenyekiti wa Tanzania Labour. Sia aondoke TLP rusi sisiemu kama akina Danhi Makanga tujue moja?
Mkuu Mawazo ya Mrema yanadhihirisha hapa
Kwa kiongozi makini wa mhimili kama Bunge alitakiwa kuwa tayari kujiuzulu kuliko kuufunga mjadala huo bila kufikiwa tamati angekuwa na mapenzi ya kweli kwa umma angekubali mbele ya Bunge kungatuka kwa kuwa hajaridhishwa na uamuzi wa serikali. Sasa kauli zake zinachochea wanaharakati kuandamana.
Mwendo huu wa spika ukiendelea utahatarisha amani ya nchi. Ni jambo baya kabisa hasa wakati huu tunaoelekea kwenye uchaguzi mkuu, alisisitiza Mrema aliyewahi pia kuwa Naibu Waziri Mkuu wakati wa serikali ya awamu ya piivyo hapa
Sourcrce Tanzania daima ya leo
link http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=13644http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=13644
Alitishiwa nyau, kwamba iwapo mjadala usingeisha kwenye kikao kile cha bunge basi na uanachama wa sisiemu ananyang'anywa! Hii ina maana kwamba na ubunge na uspika ndo ungeishia pale.
Ungekuwa ni wewe je ungekubali hilo?
Hayo yana tofauti gani na aliyokua anayafanya enzi zake ktk harakati za kisiasa?
Ben umesoma vizuri maelezo ya mrema? mrema amesema something which is very important
1. Kwa kiongozi makini wa mhimili kama Bunge alitakiwa kuwa tayari kujiuzulu kuliko kuufunga mjadala huo bila kufikiwa tamati
2. angekuwa na mapenzi ya kweli kwa umma angekubali mbele ya Bunge kungatuka kwa kuwa hajaridhishwa na uamuzi wa serikali.
Hizi point hapo mbili juu.. MREMA AMESEMA GOOD POINTS.. SITTA ANGEKUWA NA MAPENZI YA KWELI NA WATANZANIA (UMMA) Angewaambia baraza la wabunge CCM na CCM yote .. Jamaani mimi siwezi kuzima mjadala huu kwasababu hii ni kulinda mafisadi..
3. Sasa kauli zake zinachochea wanaharakati kuandamana.
Mwendo huu wa spika ukiendelea utahatarisha amani ya nchi. Ni jambo baya kabisa hasa wakati huu tunaoelekea kwenye uchaguzi mkuu,
Mrema wameeleza black and white Sitta kusema kwamba alitishiwa kunyanganywa card ya CCM kwasababu alikuwa anapigania haki zetu wananchi ni unafiki.. ni kama vile kusema.. OHHH WALINISHIKIA BUNDUKI KUSEMA MJADALA WA RICHMOND UMEFUNGWA.. what the point to pretend you are really mpiganaji but you not..
na hicho ndicho mrema alichokisema katika maneno yake.. si kingine.. SITTA had a change to show us kwamba akubaliani na CCM na Serikali kuvunja mjadala wa Richmond kwasababu it favour mafisadi but he WAS COWERED.. and SELFISH KUFIKIRIA TUMBO LAKE, MSHAHARA, NYUMBA YA USPIKA AND POSHO....
Now you are talkingNdani ya CCM kondooo na chui wanaishi zizi moja. wataka mabadiliko wote unafuu tunaotaka ni kubomoka kwa hili zizi
hatutakiwi kujali atayesababisha kuvurugikoa kwa CCM kama ni
msafi au mcafu kasi gani,
atoke ndani au nje ya CCM.
Awe na uzalendo wa kweli au awe na ajenda binafsi
Awe JK ,6, dr slaa, RA, kikwete Zitto, Mwanakijiji, Mimi,wewe , etc
Tuunge mkono chochote kile kitakochopelekea hili zizi kubomoka