Maluweluwe ya vidonge vya ARV yanatokana na nini?

Maluweluwe ya vidonge vya ARV yanatokana na nini?

mambo_safi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
176
Reaction score
440
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?

Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).

Siku hiyo nikawa pale Sinza mori (Lachaaz pub) kabla aijaungua! Nilikuwa mtu fulani hivi kwa mwonekano kila pisi kali ilikuwa inanishobokea! Basi!

Kwa mbali nikaona binti fulani kanikazia macho! Nikampotezea! Baada ya dakika 10, 20, 30, kila nikimtizama namkuta macho kodo akiniangalia! Nikasema isiwe shida nikampa ishara ya kumuita akaja mazima!

Mimi muda wote nilikuwa nimesimama kaunta napiga vyombo! Alivyofika akaomba tukae pembeni na baada ya story akaonyesha kunipenda (mh? Kumbe na wanawake wanapenda ila hawana ujasiri wa kutongoza).

Nikaondoka na kwa usafiri wa bajaji mpaka gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 nikaspend night naye!

Hila aliniomba nimwamshe mapema saa 11 alfajiri! Lakini kutokana na show ya kibabe tulikuja kushtuka asubuhi kama saa 1 hivi akaanza kupaniki na kukimbia na kuniacha guest!

Sikumbuki kama alidai malipo! Kwavile nilitembea naye peku (kwasababu nilijidanganya kwakuwa kisichana kidogo) nikaanza kuwa na ofu ya je?

kama kaathirika si nitakuwa nimeukwaa? nikizingatia nilihisi michubuko ('k' ya vibinti zinabana sana).

Nikakumbuka somo la kuwahi ARV ndani ya saa 72 nikaenda chap pale hospitali ya Palestina Sinza na kupewa dozi ya ARV nikaianza! Hila walinitaadharisha kuwa nitakuwa naota ndoto za kutisha na maluweluwe na kwamba ni kawaida ya ARV!

Saasaaa! Ebwaana weee! Kwa kipindi cha siku 30!!! Nilikuwa naota mandato ya ajabu yanatisha!! Mashetani si mashetani ni kama niko ulimwengu mwingine wa giza! Sasa cha kujiuliza.

Hivi vidonge vya ARV vilitengenezwa na nini kupelekea hali hii? Au vinatengenezwa kwa kutumia antibodies za watu waliokufa au nini?

Mwenye uzoefu wa kwanini mauzauza ya dozi ARV atujuze tafadhari!

Angalizo!

Huyo mdada tangu siku hiyo sikuwahi kumuona japo nilimuelewa saana! Na haina maana alikuwa mwathirika kwasababu mimi sikupima ila nilichukua tahadhari isije ikawa! Maeneo husika ni ya kweli ili kama huyu binti yuko humu aje pm tukacheke!
 
Ebwaana weee! Kwa kipindi cha siku 30!!! Nilikuwa naota mandato ya ajabu yanatisha!! Mashetani si mashetani ni kama niko ulimwengu mwingine wa giza! Sasa cha kujiuliza! Hivi vidonge vya ARV vilitengenezwa na nini kupelekea hali hii?....
Nitarudi kusoma comments za madaktari, phamasia na wenzako ambao wameshatumiaga.
 
Zinaitwa PEP aisee mziki wake ni mwingine! Ujanja ni kumeza ule mda wa kulala, ukimeza tu unalala

Unazingatia misosi, asubuhi unapiga supu ya maaana matunda na mapocho pocho kikubwa msos maana ndani ya siku 30 unafwafwanzika kwel kwel, waliowahi tumia wananielewa
 
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua). Siku hiyo nikawa pale Sinza mori (Lachaaz pub) kabla aijaungua! Nilikuwa mtu fulani hivi kwa mwonekano kila pisi kali ilikuwa inanishobokea! Basi! Kwa mbali nikaona binti fulani kanikazia macho! Nikampotezea! Baada ya dakika 10, 20, 30, kila nikimtizama namkuta macho kodo akiniangalia! Nikasema isiwe shida nikampa ishara ya kumuita akaja mazima! Mimi muda wote nilikuwa nimesimama kaunta napiga vyombo! Alivyofika akaomba tukae pembeni na baada ya story akaonyesha kunipenda (mh? Kumbe na wanawake wanapenda ila hawana ujasiri wa kutongoza). Nikaondoka na kwa usafiri wa bajaji mpaka gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 nikaspend night naye! Hila aliniomba nimwamshe mapema saa 11 alfajiri! Lakini kutokana na show ya kibabe tulikuja kushtuka asubuhi kama saa 1 hivi akaanza kupaniki na kukimbia na kuniacha guest! Sikumbuki kama alidai malipo! Kwavile nilitembea naye peku (kwasababu nilijidanganya kwakuwa kisichana kidogo) nikaanza kuwa na ofu ya je?? kama kaathirika si nitakuwa nimeukwaa? nikizingatia nilihisi michubuko ('k' ya vibinti zinabana sana). Nikakumbuka somo la kuwahi ARV ndani ya saa 72 nikaenda chap pale hospitali ya Palestina Sinza na kupewa dozi ya ARV nikaianza! Hila walinitaadharisha kuwa nitakuwa naota ndoto za kutisha na maluweluwe na kwamba ni kawaida ya ARV!
Saasaaa! Ebwaana weee! Kwa kipindi cha siku 30!!! Nilikuwa naota mandato ya ajabu yanatisha!! Mashetani si mashetani ni kama niko ulimwengu mwingine wa giza! Sasa cha kujiuliza! Hivi vidonge vya ARV vilitengenezwa na nini kupelekea hali hii? Au vinatengenezwa kwa kutumia antibodies za watu waliokufa au nini? Mwenye uzoefu wa kwanini mauzauza ya dozi ARV atujuze tafadhari!

Angalizo!

Huyo mdada tangu siku hiyo sikuwahi kumuona japo nilimuelewa saana! Na haina maana alikuwa mwathirika kwasababu mimi sikupima ila nilichukua tahadhari isije ikawa! Maeneo husika ni ya kweli ili kama huyu binti yuko humu aje pm tukacheke!
Chai hii, ilopoa.... Kwa hiyo siku hizi ARV zinatolewa kama Panadol....!?
 
sijui kwanini tukiwatongoza mnaona ni ajabu..so mtu kakuelewa asijimalize? Kama kashindwa kujimaliza direct kama nyie, basi tutahangaika mpk tuhakikishe umejua kuwa unatakwa.
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Kwakweli yule binti nampa maua yake! Alipata alichokuwa anataka! Na alikuwa muwazi na wala hakuwa na shida ya hela! Nakumbuka kauli yake ya mwisho ni kuniomba nimwamshe mapema saa 11 awahi nyumbani jambo ambalo nilishindwa! Na kweli alipaniki! Sijui alipatwa na nini?
 
Back
Top Bottom