Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Me kuna katoto kalinitokea kuwa kananielewa na sijui namba angu kalipata wapi. Ajabu nilikabikiri me mwnywe. Kananipenda na me nakapenda afu ni kazuri balaa.sijui kwanini tukiwatongoza mnaona ni ajabu..so mtu kakuelewa asijimalize? Kama kashindwa kujimaliza direct kama nyie, basi tutahangaika mpk tuhakikishe umejua kuwa unatakwa.
Sioni ajabu na me huwa namheshimu balaa