Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
gesti ya madereva wa stm hio 🤣"gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 "
Hapa 👆 ni Sun Flower Guest House
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gesti ya madereva wa stm hio 🤣"gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 "
Hapa 👆 ni Sun Flower Guest House
Kasema yuko fiti ni story ya 6years back kuhusu ARV EvilSpiritKwahiyo una ukimwi au hauna ukimwi mbona unatuchanganya au ndio kirusi kimeanza kudokoa ubongo
Ahaaagesti ya madereva wa stm hio 🤣
ARV (Antiretroviral) and PEP (Post-Exposure Prophylaxis) are related to HIV, but they serve different purposes.ARV ndio hizo hizo zinatumika Kama PEP mkuu elimu...elimu...elimu.

Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).
Siku hiyo nikawa pale Sinza mori (Lachaaz pub) kabla aijaungua! Nilikuwa mtu fulani hivi kwa mwonekano kila pisi kali ilikuwa inanishobokea! Basi!
Kwa mbali nikaona binti fulani kanikazia macho! Nikampotezea! Baada ya dakika 10, 20, 30, kila nikimtizama namkuta macho kodo akiniangalia! Nikasema isiwe shida nikampa ishara ya kumuita akaja mazima!
Mimi muda wote nilikuwa nimesimama kaunta napiga vyombo! Alivyofika akaomba tukae pembeni na baada ya story akaonyesha kunipenda (mh? Kumbe na wanawake wanapenda ila hawana ujasiri wa kutongoza).
Nikaondoka na kwa usafiri wa bajaji mpaka gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 nikaspend night naye!
Hila aliniomba nimwamshe mapema saa 11 alfajiri! Lakini kutokana na show ya kibabe tulikuja kushtuka asubuhi kama saa 1 hivi akaanza kupaniki na kukimbia na kuniacha guest!
Sikumbuki kama alidai malipo! Kwavile nilitembea naye peku (kwasababu nilijidanganya kwakuwa kisichana kidogo) nikaanza kuwa na ofu ya je?
kama kaathirika si nitakuwa nimeukwaa? nikizingatia nilihisi michubuko ('k' ya vibinti zinabana sana).
Nikakumbuka somo la kuwahi ARV ndani ya saa 72 nikaenda chap pale hospitali ya Palestina Sinza na kupewa dozi ya ARV nikaianza! Hila walinitaadharisha kuwa nitakuwa naota ndoto za kutisha na maluweluwe na kwamba ni kawaida ya ARV!
Saasaaa! Ebwaana weee! Kwa kipindi cha siku 30!!! Nilikuwa naota mandato ya ajabu yanatisha!! Mashetani si mashetani ni kama niko ulimwengu mwingine wa giza! Sasa cha kujiuliza.
Hivi vidonge vya ARV vilitengenezwa na nini kupelekea hali hii? Au vinatengenezwa kwa kutumia antibodies za watu waliokufa au nini?
Mwenye uzoefu wa kwanini mauzauza ya dozi ARV atujuze tafadhari!
Angalizo!
Huyo mdada tangu siku hiyo sikuwahi kumuona japo nilimuelewa saana! Na haina maana alikuwa mwathirika kwasababu mimi sikupima ila nilichukua tahadhari isije ikawa! Maeneo husika ni ya kweli ili kama huyu binti yuko humu aje pm tukacheke!
OkKasema yuko fiti ni story ya 6years back kuhusu ARV EvilSpirit
Chai.Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wasukuma wote wanyanganywe simu janja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Uko Bar ambayo wanawake wanajiuza, unaangaliwa na Malaya, unajisifia mwonekano"
ARV (Antiretroviral) and PEP (Post-Exposure Prophylaxis) are related to HIV, but they serve different purposes.
ARV refers to antiretroviral medications used for the treatment of HIV, helping manage and control the virus in individuals who are already HIV-positive.
PEP, on the other hand, stands for post-exposure prophylaxis. It involves taking antiretroviral medications after potential exposure to HIV to prevent infection. PEP is a preventive measure, typically administered within 72 hours of a possible exposure, such as through unprotected sex or needle sharing.
In summary, ARV is for the ongoing treatment of HIV-positive individuals, while PEP is a short-term preventive measure for those at risk of recent HIV exposure.
======================
Onyesha nilipokosea....
Mwee! Wee ukale mbususu na condom sii bora upige nyeto tuu.😂😂😂kazi kazi vijana, Rough rider buku 4/5 jamani
Kweliii kwann ukubali kuteseka na mindoto ya PEP
Sawa mtaalamuHivi chai ya maziwa, mkate na mayai na breakfast tofauti ni nini??
ARV ni dawa za kupambana na VVU. Ni kifupi cha Antiretroviral medicines. Hizi dawa zinaweza kutumika kama PreP yani kabla mtu hajapata maambukizi (pre exposure prophylaxis) au akishapata maambukizi (post exposure prophylaxis)
Kwa hiyo PEP sio dawa, Ila ni kinga anayopewa mtu baada ya kua exposed kwenye hatari ya kupata VVU
Kwa hiyo dawa zinazotumika kwenye PreP na PEP ni hizo hizo ARVs.
Ideally wanasema, ukinywa ARV kwa mwezi mzima muda mfupi baada ya kuukwaa, kinga yako ya mwili inaweza kuclear hivyo virusi vichache na ambavyo haviongezeki kwa idadi sababu unatumia dawa zinazozuia visiongezeke.
Sikuwezi 😂😀🤣😂😂😂kazi kazi vijana, Rough rider buku 4/5 jamani
Kweliii kwann ukubali kuteseka na mindoto ya PEP
Kuna jamaang yeye hutumia dozi, juzi nmekutana nae ktk stori akadai anasumbuliwa na ndoto za maajabu, me nkamwambia ikiwa nmetokewa na ndoto za mauzauza hua najitahid nakuwa starling wa hiyo movie,Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).
Siku hiyo nikawa pale Sinza mori (Lachaaz pub) kabla aijaungua! Nilikuwa mtu fulani hivi kwa mwonekano kila pisi kali ilikuwa inanishobokea! Basi!
Kwa mbali nikaona binti fulani kanikazia macho! Nikampotezea! Baada ya dakika 10, 20, 30, kila nikimtizama namkuta macho kodo akiniangalia! Nikasema isiwe shida nikampa ishara ya kumuita akaja mazima!
Mimi muda wote nilikuwa nimesimama kaunta napiga vyombo! Alivyofika akaomba tukae pembeni na baada ya story akaonyesha kunipenda (mh? Kumbe na wanawake wanapenda ila hawana ujasiri wa kutongoza).
Nikaondoka na kwa usafiri wa bajaji mpaka gesti moja iliyoko barabara ya njia panda Sinza Mugabe kama unaelekea standi ya Simu2000 nikaspend night naye!
Hila aliniomba nimwamshe mapema saa 11 alfajiri! Lakini kutokana na show ya kibabe tulikuja kushtuka asubuhi kama saa 1 hivi akaanza kupaniki na kukimbia na kuniacha guest!
Sikumbuki kama alidai malipo! Kwavile nilitembea naye peku (kwasababu nilijidanganya kwakuwa kisichana kidogo) nikaanza kuwa na ofu ya je?
kama kaathirika si nitakuwa nimeukwaa? nikizingatia nilihisi michubuko ('k' ya vibinti zinabana sana).
Nikakumbuka somo la kuwahi ARV ndani ya saa 72 nikaenda chap pale hospitali ya Palestina Sinza na kupewa dozi ya ARV nikaianza! Hila walinitaadharisha kuwa nitakuwa naota ndoto za kutisha na maluweluwe na kwamba ni kawaida ya ARV!
Saasaaa! Ebwaana weee! Kwa kipindi cha siku 30!!! Nilikuwa naota mandato ya ajabu yanatisha!! Mashetani si mashetani ni kama niko ulimwengu mwingine wa giza! Sasa cha kujiuliza.
Hivi vidonge vya ARV vilitengenezwa na nini kupelekea hali hii? Au vinatengenezwa kwa kutumia antibodies za watu waliokufa au nini?
Mwenye uzoefu wa kwanini mauzauza ya dozi ARV atujuze tafadhari!
Angalizo!
Huyo mdada tangu siku hiyo sikuwahi kumuona japo nilimuelewa saana! Na haina maana alikuwa mwathirika kwasababu mimi sikupima ila nilichukua tahadhari isije ikawa! Maeneo husika ni ya kweli ili kama huyu binti yuko humu aje pm tukacheke!
Acha uongo. Palestina hawakupi PEP bila kukupimaJamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?

Wee vipi? Sasa utapimwaje dakika/saa chache baada ya kujamiiana unahofia maambukizi? Kivyovyote wakipima itakuwa -ve! Kumbuka kuna tofauti ya ARV na PEP!Acha uongo. Palestina hawakupi PEP bila kukupima