Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Acha tu mzee, nilivyopata hii habari imenisikitisha sana.Inasikitisha sana!
Kwa kifupi, kama hii ni shule ya Serikali, maelezo ya walimu yanaonekana kuwa na mambo yanayohitaji ufafanuzi rasmi. Sera ya Serikali inaeleza kuwa elimu ya msingi na sekondari ya chini (Kidato I–IV) katika shule za umma ni bila ada, na ni elimu ya lazima.Habari ndugu zangu?
Issue iko hivi, dogo yupo kidato cha nne, anasoma shule ya sekondari IGANZO, ipo mkoa wa Mbeya.
Mwezi wa sita mwaka huu walifunga shule, lakini kwakuwa yupo kidato cha nne, walimu waliwaambia wanafunzi kuwa kidato cha nne hawatokuwa na likizo ya mwezi wa sita, wanatakiwa kuendelea na masomo ili kujiandaa na mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
Ila walipewa sharti kuwa kila mwanafunzi wa kidato cha nne atatakiwa kulipia shilingi elfu kumi (10000) ili aendelee na masomo, hii sio hiyari ni lazima.
Dogo amerudi nyumbani, lakini Bi mkubwa wake hayupo, ni single madha, ameenda mkoa mwingine kwenye harakati zake za utafutaji.
Dogo amempigia simu Bi mkubwa wake kumpa taarifa kuhusu habari ya kuendelea na masomo kipindi cha likizo, Bi mkubwa wake anamjibu dogo kuwa hana hiyo pesa, mambo yake yapo vibaya. Kwahiyo dogo inabidi akae tu nyumbani mpaka likizo itakapoisha.
Likizo imeisha, dogo anaenda shule walimu wanamzuia kuendelea na masomo. Wanamuambia arudi nyumbani, akamuite mzazi, pia aende na shilingi elfu kumi (10000) pamoja na mfuko mmoja wa cement.
Muda huo Bi mkubwa bado hajarudi safari aliyoenda, dogo anawaelekeza waalimu kuwa mzazi wake amesafiri hayupo, walimu wanakataa kumuelewa.
Dogo anaamua kukaa nyumbani kumsubiri Bi mkubwa arudi.
Juzi Bi mkubwa amerudi, jana ameenda na dogo shule.
Baada ya kufika shule, walimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa inabidi asaini barua inayoelekeza kukubali mtoto wake kuacha shule, kwasababu mtoto wake ni mtoro. Bi mkubwa anawaelekeza kuwa hali yake ya kifedha ilikuwa mbaya, alikuwa anauguza pia, lakini walimu wanagoma kabisa kumuelewa.
Walimu wanamuambia kama amegoma kusaini barua ya mtoto kuacha shule, basi amchukue mtoto wake arudi naye nyumbani, lakini shuleni hawataki kumuona.
Walimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa akitaka aende hata wizara ya elimu, lakini wao hawana msaada mwingine kwake.
Dogo anaitwa KEVIN FREDRICK MSOMBA
Kuna ujinga mwingi upo kwenye hizi shule ukisimamiwa na bodi ya shule ambayo inanufaika na huo ujinga. Kuna vikao vinaitishwa kwa hao wazazi juu ya kile wanaita kupandisha ufaulu kwa kuchangia wawezeshaji,wanakubaliana kiasi husika,wanasaini walio hudhuria,unaandaliwa muhtasari wa mkutano na kupelekwa kwa viongozi wa elimu wa wilaya.Kwa kifupi, kama hii ni shule ya Serikali, maelezo ya walimu yanaonekana kuwa na mambo yanayohitaji ufafanuzi rasmi. Sera ya Serikali inaeleza kuwa elimu ya msingi na sekondari ya chini (Kidato I–IV) katika shule za umma ni bila ada, na ni elimu ya lazima.
Hivyo, suala la TSh 10,000 na mfuko wa saruji kuwa sharti la kuendelea na masomo linahitaji shule ionyeshe msingi rasmi wa malipo hayo. Pia, kumtangaza mwanafunzi kuwa mtoro bila kuzingatia mazingira yaliyowasilishwa na mzazi kunahitaji kuchunguzwa.
Ushauri wangu: Mama yake asiende kubishana na walimu. Aende na ushahidi/maelezo yake, aombe maelekezo hayo ya kuacha shule yaandikwe rasmi, kisha awasiliane na Mkuu wa Shule → Afisa Elimu wa Wilaya → Afisa Elimu wa Mkoa/TAMISEMI ili suala la Kevin lisuluhishwe haraka. Wizara pia ina kituo cha huduma kwa wateja na mawasiliano rasmi kwa malalamiko.
Acha tu, hawajui familia zinatofautina.Walimu wanalazimisha marupurupu
Naongezea hapa mkuu,Kuna ujinga mwingi upo kwenye hizi shule ukisimamiwa na bodi ya shule ambayo inanufaika na huo ujinga. Kuna vikao vinaitishwa kwa hao wazazi juu ya kile wanaita kupandisha ufaulu kwa kuchangia wawezeshaji,wanakubaliana kiasi husika,wanasaini walio hudhuria,unaandaliwa muhtasari wa mkutano na kupelekwa kwa viongozi wa elimu wa wilaya.
Kiburi cha walimu kusema nenda popote ni kutokana na maadhimio ya wazazi yaliyo fikiwa kumbukumbu ipo kwa kiongozi wa elimu wilaya.
Huu ujinga wengine tulishindwa tukarudisha watoto wetu shule za private.
Hao Walimu ni wapuuzi sana! Mwezi june ile ni likizo ya kitaifa sio lazima kwenda shule,ni hiari tu ya maelewano baina ya Walimu na wazazi, ingekuwa katega kwenda shule siku za kawaida kweli hapo ingekuwa tatizo!! Mimi ilimtokea mjukuu wangu walitaka hadi siku kuu ya juzi Maulid heti aende shule, Walimu wapuuzi sana ! asiwachekee kabisa, yaani mtoto anatakiwa mwezi November afanye mtihani wa Taifa,wao wanataka asaini barua ya kufutwa shule .Habari ndugu zangu?
Issue iko hivi, dogo yupo kidato cha nne, anasoma shule ya sekondari IGANZO, ipo mkoa wa Mbeya.
Mwezi wa sita mwaka huu walifunga shule, lakini kwakuwa yupo kidato cha nne, walimu waliwaambia wanafunzi kuwa kidato cha nne hawatokuwa na likizo ya mwezi wa sita, wanatakiwa kuendelea na masomo ili kujiandaa na mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
Ila walipewa sharti kuwa kila mwanafunzi wa kidato cha nne atatakiwa kulipia shilingi elfu kumi (10000) ili aendelee na masomo, hii sio hiyari ni lazima.
Dogo amerudi nyumbani, lakini Bi mkubwa wake hayupo, ni single madha, ameenda mkoa mwingine kwenye harakati zake za utafutaji.
Dogo amempigia simu Bi mkubwa wake kumpa taarifa kuhusu habari ya kuendelea na masomo kipindi cha likizo, Bi mkubwa wake anamjibu dogo kuwa hana hiyo pesa, mambo yake yapo vibaya. Kwahiyo dogo inabidi akae tu nyumbani mpaka likizo itakapoisha.
Likizo imeisha, dogo anaenda shule walimu wanamzuia kuendelea na masomo. Wanamuambia arudi nyumbani, akamuite mzazi, pia aende na shilingi elfu kumi (10000) pamoja na mfuko mmoja wa cement.
Muda huo Bi mkubwa bado hajarudi safari aliyoenda, dogo anawaelekeza waalimu kuwa mzazi wake amesafiri hayupo, walimu wanakataa kumuelewa.
Dogo anaamua kukaa nyumbani kumsubiri Bi mkubwa arudi.
Juzi Bi mkubwa amerudi, jana ameenda na dogo shule.
Baada ya kufika shule, walimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa inabidi asaini barua inayoelekeza kukubali mtoto wake kuacha shule, kwasababu mtoto wake ni mtoro. Bi mkubwa anawaelekeza kuwa hali yake ya kifedha ilikuwa mbaya, alikuwa anauguza pia, lakini walimu wanagoma kabisa kumuelewa.
Walimu wanamuambia kama amegoma kusaini barua ya mtoto kuacha shule, basi amchukue mtoto wake arudi naye nyumbani, lakini shuleni hawataki kumuona, pia walimu wanasema hawataki SIFURI shuleni kwao, dogo atawaletea SIFURI shuleni.
Mwisho waalimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa akitaka aende hata wizara ya elimu, lakini wao hawana msaada mwingine kwake.
Dogo anaitwa KEVIN FREDRICK MSOMBA
Umenikumbusha Emmanuel Nchimbi alivyolazimishwa kuandika barua ya kujiuzulu.Habari ndugu zangu?