Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule

Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule

Pamoja na umaskini wao ila naona saa nyingine waalimu hujitafutia matatizo yasiyo ya lazima. Kwa uwepo wa hizi media ni risk sana kufanya huu upuuzi. Jambo kama hili likishasambaa lazima hao waalimu watumike kama kafara ili serikali isichafuke. Mkuu wa shule Iganzo kama anasoma huu uzi awe makini na kifuatacho.
 
Ila walimu na sie tuna viherehere 10k ni ya kumfukuzisha mtoto shule?vijijini huko kuna ujinga Mwingi saana unaendelea wanadhani kila mtu kule ni nangaasoma eti?!!
 
Pamoja na umaskini wao ila naona saa nyingine waalimu hujitafutia matatizo yasiyo ya lazima. Kwa uwepo wa hizi media ni risk sana kufanya huu upuuzi. Jambo kama hili likishasambaa lazima hao waalimu watumike kama kafara ili serikali isichafuke. Mkuu wa shule Iganzo kama anasoma huu uzi awe makini na kifuatacho.
Atakipata anachokitaka maana sio muungwana!!na hajui kucheza na kipindi eti
 
Pamoja na umaskini wao ila naona saa nyingine waalimu hujitafutia matatizo yasiyo ya lazima. Kwa uwepo wa hizi media ni risk sana kufanya huu upuuzi. Jambo kama hili likishasambaa lazima hao waalimu watumike kama kafara ili serikali isichafuke. Mkuu wa shule Iganzo kama anasoma huu uzi awe makini na kifuatacho.
Wamemnyanyasa sana mama yetu. Yaani Bi mkubwa amewaomba sana, lakini wameshindwa kumsikiliza.
Kwenye simu hadi Bi mkubwa analia, walimu wanamuambia aende popote anapotaka, iwe wilayani au wizara ya elimu, mtoto wake hawamtaki shuleni, wanamuambia hawataki masifuri shuleni kwao. Hawa walimu wa shule za serikali wana matatizo sana.
 
Hata mtaaluma Ni mwanafamilia Kaka,dawa Ni kumwita Tu kwenye kikao cha familia, tusifike Mbali Kaka😅
Mkongwe, vuta picha ni mama yako anafanyiwa hicho mwalimu wa taaluma alichomfanyia Bi mkubwa.

Huo ni udhalilishaji unajua mkongwe?

Watu wengine wanahudumiwa, ila wewe unatengwa kama kinyesi, unaijua hii feeling vizuri mkongwe?
 
Mkuu wa shule Iganzo kama anasoma huu uzi awe makini na kifuatacho.
Unaweza kukuta hata hajui kinachoendelea shuleni kwake.

Nilimuuliza dogo kuhusu mwalimu mkuu, dogo alisema mwalimu mkuu hashindagi shule, huwa anakuja shuleni mara mojamoja sana!
 
Unaweza kukuta hata hajui kinachoendelea shuleni kwake.

Nilimuuliza dogo kuhusu mwalimu mkuu, dogo alisema mwalimu mkuu hashindagi shule, huwa anakuja shuleni mara mojamoja sana!
Sasa watamfukuza vipi mtoto bila mwalimu mkuu? hili jambo lina ukakasi sana, mama aende ngazi za juu na huko kwenu hakuna wajomba wasimamie hiyo kesi mbona kama wanamchezea bi mkubwa namna hiyo
 
Halafu kuna mwalimu mmoja alivimbiwa maandazi ya mia mia, akaja humu kucheua, anadai watoto wa waalimu wasome bure vyuo vikuu bila mikopo yoyote sababu ualimu ni sekta muhimu kuliko zote, watu wenyewe ndio hao wanaofukuzisha watoto kwa elfu 10
 
Habari ndugu zangu?

Issue iko hivi, dogo yupo kidato cha nne, anasoma shule ya sekondari IGANZO, ipo mkoa wa Mbeya.

Mwezi wa sita mwaka huu walifunga shule, lakini kwakuwa yupo kidato cha nne, walimu waliwaambia wanafunzi kuwa kidato cha nne hawatokuwa na likizo ya mwezi wa sita, wanatakiwa kuendelea na masomo ili kujiandaa na mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
Ila walipewa sharti kuwa kila mwanafunzi wa kidato cha nne atatakiwa kulipia shilingi elfu kumi (10000) ili aendelee na masomo, hii sio hiyari ni lazima.

Dogo amerudi nyumbani, lakini Bi mkubwa wake hayupo, ni single madha, ameenda mkoa mwingine kwenye harakati zake za utafutaji.
Dogo amempigia simu Bi mkubwa wake kumpa taarifa kuhusu habari ya kuendelea na masomo kipindi cha likizo, Bi mkubwa wake anamjibu dogo kuwa hana hiyo pesa, mambo yake yapo vibaya. Kwahiyo dogo inabidi akae tu nyumbani mpaka likizo itakapoisha.

Likizo imeisha, dogo anaenda shule walimu wanamzuia kuendelea na masomo. Wanamuambia arudi nyumbani, akamuite mzazi, pia aende na shilingi elfu kumi (10000) pamoja na mfuko mmoja wa cement.
Muda huo Bi mkubwa bado hajarudi safari aliyoenda, dogo anawaelekeza waalimu kuwa mzazi wake amesafiri hayupo, walimu wanakataa kumuelewa.

Dogo anaamua kukaa nyumbani kumsubiri Bi mkubwa arudi.

Juzi Bi mkubwa amerudi, jana ameenda na dogo shule.
Baada ya kufika shule, walimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa inabidi asaini barua inayoelekeza kukubali mtoto wake kuacha shule, kwasababu mtoto wake ni mtoro. Bi mkubwa anawaelekeza kuwa hali yake ya kifedha ilikuwa mbaya, alikuwa anauguza pia, lakini walimu wanagoma kabisa kumuelewa.
Walimu wanamuambia kama amegoma kusaini barua ya mtoto kuacha shule, basi amchukue mtoto wake arudi naye nyumbani, lakini shuleni hawataki kumuona, pia walimu wanasema hawataki SIFURI shuleni kwao, dogo atawaletea SIFURI shuleni.

Mwisho waalimu wanamuambia Bi mkubwa kuwa akitaka aende hata wizara ya elimu, lakini wao hawana msaada mwingine kwake.

Dogo anaitwa KEVIN FREDRICK MSOMBA
Hao walimu ni wavuta bangi hawana haki ya kumfukuza mtoto shule
 
Hapa ni jamii forums home of great thinkers sio?.. Sasa mnapata wapi haki ya kuhukumu kwa kusikiliza pande moja ya mtoa mada?. Je mmeusikiliza uongozi wa shule?. . Je huyu anachosema tuna uhakika gani kua ni kweli?. What if dogo ana makosa Mengine ya kinidhamu?.
NB: kwa kukua ni kidato Cha Nne hawawezi kumfukuza direct anayo haki ya kufanya MITIHANI!..
 
Pamoja na umaskini wao ila naona saa nyingine waalimu hujitafutia matatizo yasiyo ya lazima. Kwa uwepo wa hizi media ni risk sana kufanya huu upuuzi. Jambo kama hili likishasambaa lazima hao waalimu watumike kama kafara ili serikali isichafuke. Mkuu wa shule Iganzo kama anasoma huu uzi awe makini na kifuatacho.
Are you sure walimu ni maskini au umekalili bro ,,wengi wao now at the age of 30+ wanakwangua 1M plus per month,, Sasa Kuna maskini mwenye kipato Cha 1M per month kama take home?.
 
Are you sure walimu ni maskini au umekalili bro ,,wengi wao now at the age of 30+ wanakwangua 1M plus per month,, Sasa Kuna maskini mwenye kipato Cha 1M per month kama take home?.
Mkuu, 1M per month sio umaskini????
Acha ccm iendelee kutawala wajinga kama nyie
 
Shida ni kuwa tumezoea kubembeleza vitu ambavyo ni haki yetu. Badala ya kuongea, aandike barua kwa Mwalimu Mkuu kuelezea hali ilivyo ( awataje walimu wote waliomzuia mwanae) , na nakala apeleke Wilayani, Mkoani na Wizarani. Serikali inaenda kwa makaratasi, sio maneno.

Amandla...
 
Are you sure walimu ni maskini au umekalili bro ,,wengi wao now at the age of 30+ wanakwangua 1M plus per month,, Sasa Kuna maskini mwenye kipato Cha 1M per month kama take home?.
Hao wa m+ ni wachache sana
 
Mkuu, 1M per month sio umaskini????
Acha ccm iendelee kutawala wajinga kama nyie
Wewe mwenye akili unatumia kigezo gani kwa hiyo judgement yako?.
Mimi nimetumia vigezo vya world bank maskini ni yule anae tumia below 3.65 USD per day sawa na 9300tsh na 270k+ per months hii ni world bank sio Mimi!.. Sasa mtu mwenye uhakika wa 1M hapo tayar ana bima + pension,,
Kwa siku almost ni 12 USD ambayo ni kama 31000K kwa siku,kwa mujibu wa World bank huyu ni middle class,,,!. Wewe umetumia vigezo gani? Jibu kwa hoja. Sawa Mimi ni mjinga ila wewe hapa umeonyesha UPUMBAFU,,!. Au pia world bank hawataki CCM itoke madarakani?.. sometimes unaweza amini unajua kumbe ni zero brain,,
 
Back
Top Bottom