Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule

Ipo siku kuna mzazi atauwa mwalimu
 
Are you sure walimu ni maskini au umekalili bro ,,wengi wao now at the age of 30+ wanakwangua 1M plus per month,, Sasa Kuna maskini mwenye kipato Cha 1M per month kama take home?.
Mkuu achana na 1m leo kuna mtu kaniambia kuna walimu wanabeba 2.5m take home. Sema ni vile hawanaga marupurupu mengine wanajikuta wanalazimisha wazazi kufanya mambo ambayo yapo nje ya utaratibu
 
Elimu ni bure kuanzia darasa la kwanza hadi form six
 
Private ndiyo kuna michango ya kufa mtu
Hapa nadaiwa mchango wa tour shilingi laki nane
 
Sawa mkuu mimi ni mpumbavu,
31k kwa siku ni middle class?
Sibishani tena na wewe Mkuu🫡
 
shule ni ya serikali? kufanya mtihani mtoto ni haki yake ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…