Ila hili gari sio jipya ni mtumba na thamani yake haizidi 20MMwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason.
View attachment 3190836
Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki kushiriki lolote linalohusiana na imani au makundi yasiyoeleweka.
View attachment 3190838
View attachment 3190842
Duh sawaSimjui mie, chui wa nini asije akanila mie 😂😂😂
KikiKwamba akilipanda tu atapata ajali...atakufwaa!!? 🤣🤣🤣
Halafu mbona mama kijana tu
sasa huyo jamaa, si ndio michongo yake ya kujifanya freemason then anawapiga watu huko tik tok, anazipa hela media zinapiga promo miyeyusho yake. sijui na mimi nifanye haya maigizo wabongo ni wehu, wanajiunga kwa kulipia ma group yakeYale matapeli yanayodai kuunganisha watu na ufreemason yameharibu akili za watu. Zile picha za maburunguti ya hela, majumba na magari zimewaaminisha watu kuwa huo utajiri wanatoa wao. Ikitokea kijana kapambana wee akapata gari au jumba watasema tayari amejiunga freemason, ataanza kuogopwa na ndugu zake kwa dhana kwamba watatolewa kafara. Kumbe hakuna kitu wala freemason hawahusiki, huko ni kutokujua dhana ya freemason in and out
ni mpuuzi fulani hivi anayejisifuHuyu sijawahi msikiaa .....huko mjini ni nani??
NakaziaHuyo chui ni msanii wa nini hapa bongo maana wengine hatumjui
Hatari kweli kweli...Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason.
View attachment 3190836
Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki kushiriki lolote linalohusiana na imani au makundi yasiyoeleweka.
View attachment 3190838
View attachment 3190842
nasikitika kusema wale masheikh uchwara kutoka kenya wameharibu mbongo za watu vibaya sanaWale wapuuzi walioanza kuisema vibaya Freemason miaka ya 90's na 2000 mwanzoni wameharibu sana watu