Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mi hayo ya hivyo hata siyaweziLabda walikubaliana kuwa itakuwa ni kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi hayo ya hivyo hata siyaweziLabda walikubaliana kuwa itakuwa ni kimya kimya.
mkuu ujasema barabara gani sasa, kumbuka kuna na barabara ya udongo pia.... hapo mazao yetu vipi?Ukioa huyo ni sawa na kupanda mazao barabarani.
Utakuwa unatoka kolomije....mademu wakali kuwa na pozi ni sunaWacha dharau zimtafune Jokate! Nakumbuka miaka ile wakati tunasoma UDSM, nilipishana na Jokate, nikampa hi, alafu akanichunia... Niliumia sana... Wacha ale matunda ya dharau zake...
HahahaMi hayo ya hivyo hata siyawezi
Sifichii huku mtandaoni tunataniana tu bana,,,byt kiuhalisiaa ukiwa mpenzi wangu nataka hadi mwenyekiti na balozi wa mtaa atujue [emoji23][emoji23],,upo tayari?Hahaha
Mbona na wewe huwa unaficha?
Kama ni wewe Nataka hata Mama yako atujue, mama yangu atujue pia, sembuse mwenyekiti wa mtaa!!Sifichii huku mtandaoni tunataniana tu bana,,,byt kiuhalisiaa ukiwa mpenzi wangu nataka hadi mwenyekiti na balozi wa mtaa atujue [emoji23][emoji23],,upo tayari?
Ahh mbwahaaaaa mbwahaaaaNasema kaa na joketi ongea nae vizuri utapata ukweli...
ah a labda hasheem tabhit kapanua sana njiaPengine uzuri wake ni nje tu, ndani hamna kitu [emoji4]
Uwiiiii una maneno matamu wewe ,,,nakuja unirogeKama ni wewe Nataka hata Mama yako atujue, mama yangu atujue pia, sembuse mwenyekiti wa mtaa!!
Am more than ready.
Hii ni homa kwa dada zetu wengi....kujifanya wanajua kila kitu na kutaka wawe juu kila wakati. Me mwanamke much know huwa nakaa nae mbali mita laki 1Atakuwa na tatizo moja ambalo mwanamke akiwa nalo ni mtihani,,,,""atakuwa ni MUCH KNOW sana (kujua kwingi)
Hahahahah kua kila Mtu atavuna sio eeehUkioa huyo ni sawa na kupanda mazao barabarani.
HahahaaaUwiiiii una maneno matamu wewe ,,,nakuja uniroge
NakujaaaaHahahaaa
Il b happy ukuje tu
Jokate mwenyewe akili zake fupi, hata mpenzi ambaye hakupendi kuna siku atajibaraguza ana ku introduce hata kwa rafiki zake wa wili bas, we mtu gani anashinda ana kukana daily hata ile ya kutoa sentensi tat haipo ana kana moja kwa moja na wewe umeo tuu.Nakujaaaa
Kwa kweli hata mi namshangaa ,,,,mi naona ukiwa na daimond hafichii jamani hata alipokuwaga na jokate hakufichaaJokate mwenyewe akili zake fupi, hata mpenzi ambaye hakupendi kuna siku atajibaraguza ana ku introduce hata kwa rafiki zake wa wili bas, we mtu gani anashinda ana kukana daily hata ile ya kutoa sentensi tat haipo ana kana moja kwa moja na wewe umeo tuu.
Atakoma
Kweli na diamond alimweka wazo akiwa hana hisia naye kihivoo. Hata wema huwa anaonesha wapenzi wake wa wilki mbili hadharani.Kwa kweli hata mi namshangaa ,,,,mi naona ukiwa na daimond hafichii jamani hata alipokuwaga na jokate hakufichaa
Yap wna moyo mgumu,,kiba ni mbinafs sanaaKweli na diamond alimweka wazo akiwa hana hisia naye kihivoo. Hata wema huwa anaonesha wapenzi wake wa wilki mbili hadharani.
Unajua watu ni bora wajue uko naye kulilo kumuweka kwenye uncertainity, sasa jokate ana kosa wanaume wa maana kama kina le mutuz kwan wanajua yuko na kiba.
Haikai poa kabsa ni kama kuzibiana rizik
Sema tatizo ukute yeye Jokate ashazama baharini kwa kiba sasa hapo kumuokoa ni mpaka majeshi ya uokozi yatoke South Africa.Yap wna moyo mgumu,,kiba ni mbinafs sanaa