Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Wacha dharau zimtafune Jokate! Nakumbuka miaka ile wakati tunasoma UDSM, nilipishana na Jokate, nikampa hi, alafu akanichunia... Niliumia sana... Wacha ale matunda ya dharau zake...
Utakuwa unatoka kolomije....mademu wakali kuwa na pozi ni suna
 
Sifichii huku mtandaoni tunataniana tu bana,,,byt kiuhalisiaa ukiwa mpenzi wangu nataka hadi mwenyekiti na balozi wa mtaa atujue [emoji23][emoji23],,upo tayari?
Kama ni wewe Nataka hata Mama yako atujue, mama yangu atujue pia, sembuse mwenyekiti wa mtaa!!
Am more than ready.
 
Nakujaaaa
Jokate mwenyewe akili zake fupi, hata mpenzi ambaye hakupendi kuna siku atajibaraguza ana ku introduce hata kwa rafiki zake wa wili bas, we mtu gani anashinda ana kukana daily hata ile ya kutoa sentensi tat haipo ana kana moja kwa moja na wewe umeo tuu.
Atakoma
 
Kwa kweli hata mi namshangaa ,,,,mi naona ukiwa na daimond hafichii jamani hata alipokuwaga na jokate hakufichaa
 
Kweli na diamond alimweka wazo akiwa hana hisia naye kihivoo. Hata wema huwa anaonesha wapenzi wake wa wilki mbili hadharani.
Unajua watu ni bora wajue uko naye kulilo kumuweka kwenye uncertainity, sasa jokate ana kosa wanaume wa maana kama kina le mutuz kwan wanajua yuko na kiba.
Haikai poa kabsa ni kama kuzibiana rizik
 
Yap wna moyo mgumu,,kiba ni mbinafs sanaa
 
Sema tatizo ukute yeye Jokate ashazama baharini kwa kiba sasa hapo kumuokoa ni mpaka majeshi ya uokozi yatoke South Africa.
Wanawake na nyie mkisha oenda huwa ni wabishi sana
 
Back
Top Bottom