Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Safi sana...mnataka mjue mambo binafsi ya watu ili kiwe nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhaahhaahahahah mpaka NATO wajeSema tatizo ukute yeye Jokate ashazama baharini kwa kiba sasa hapo kumuokoa ni mpaka majeshi ya uokozi yatoke South Africa.
Wanawake na nyie mkisha oenda huwa ni wabishi sana
Jibu hilo.Hahahahah kua kila Mtu atavuna sio eeeh
Waliwakataa utotoni kwa hio tusijuane ukubwaniMbona wasanii wengi wa bongo wanakuwa zaidi na mama zao? Wapi baba zao?
Km kweli ni ho....bac wacheza basketball sio watu wazurii[emoji1] [emoji1] [emoji1] kamwaribu mwenzie kaenda kuoa MTU mwingine...Mungu anamwonaKwa video niliyoona ali kiba ameshaanza kubwia madawa, seven ana la kijibu
Jokate ni ho ilo linajulikana, dont be deceived na sura yake ya upole na namna anavyoongea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani watu mtafanya assumption hadi bac .....mnasema JoJo pekee...vipi Ali hao alozaa nao wanawake 3 nao ni magogo wote ama?!Inalekea kitandani Jokate Gogo
huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!
...ona sasa.!,Ur daydreaming. Mtu mwenyewe unatembelea ki Vitz afu bado unamtaka Jokate!
😱😱...ona sasa.!,
..we ulivyokuwa unanuka ka beberu ukachuniwa salamu tu imekuuma mpaka leo,
....hapa unamletea mashauzi mwanaume mwenzio;
..unamkatisha tamaa unataka akubandue wewe?