Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Sema tatizo ukute yeye Jokate ashazama baharini kwa kiba sasa hapo kumuokoa ni mpaka majeshi ya uokozi yatoke South Africa.
Wanawake na nyie mkisha oenda huwa ni wabishi sana
Ahahhaahhaahahahah mpaka NATO waje
 
njo jokate me nna mahabba ya dhati...nipo tanfa majani mapana
 
Jokate mama tafta mbaba mmoja mtu mzima akulee....huoni kina Kyln and company, vijana ni headache...achana na habari za true love mara sijui starting from the bottom n shit like that
Mtu mzima ukiona kakupenda we msikilize mfate flow yake utampenda tu along the way
Hamna mapenzi matamuu kama ya mwanaume mkubwa jmn anakuleaa hatari.. Kijana mdogo huyu atakuogesha wewe..hela atakupa huyu?? Mbaba yule anakuona kama mwanae bas ful kukudekeza
 
Sijui na hapa team Kidoti ndo itaanza!??
Kama ilivyoanza kwa team Wema!
 
Mbona wasanii wengi wa bongo wanakuwa zaidi na mama zao? Wapi baba zao?
 
Tangu amsifu Magu kwenye page yake nilimlaani huyu binti na ataendelea teseka kama sisi tunaoteswa maisha na Magu
 
Nnacho kijuwa mimi kama mtu wa karibu wa king kiba ni kuwa mshkaji anapiga mzigo nna maana kidoti ni shemeji yangu sema nini Kiba hataki kujiweka wazi masuala ya mahusiano yake na tabia hiyo ndio kamlithisha kidoti kwa hiyo msione hivyo wanakataana public wenyewe wanajuwa wanachokifanya
 
Kwa video niliyoona ali kiba ameshaanza kubwia madawa, seven ana la kijibu

Jokate ni ho ilo linajulikana, dont be deceived na sura yake ya upole na namna anavyoongea
Km kweli ni ho....bac wacheza basketball sio watu wazurii[emoji1] [emoji1] [emoji1] kamwaribu mwenzie kaenda kuoa MTU mwingine...Mungu anamwona
 
Sikuzote Mama wa Mwanaume akimkataa Binti, ni Nouma ile Mbaya.. Sio kwa kuringa huko!!

Ukitaka kujua wanawake hawapendani ndio hapo..

Mtoto wa kike utajutraaa.!!!!!.
Usifanye mchezo.
 
Kudadeki wamemkana kipenz changu live.bila.chenga

Haka kadada nakapenda aisee

Sijui uzur wa.nje wa ubaya wa ndan
 
Haka ni ka scAndal kakutengeneza tu ili wa trend mpk huku jf
 
Ur daydreaming. Mtu mwenyewe unatembelea ki Vitz afu bado unamtaka Jokate!
...ona sasa.!,
..we ulivyokuwa unanuka ka beberu ukachuniwa salamu tu imekuuma mpaka leo,
....hapa unamletea mashauzi mwanaume mwenzio;
..unamkatisha tamaa unataka akubandue wewe?
 
Back
Top Bottom