Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Mkimuona mwambieni AJE kwangu ila mi sio Supastaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jojo na wolper wana matatizo
Ilikuwa ni kwenye sherehe za Ali Kiba kupata tuzo ya MTV Ema na Ali Kiba alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Jokate alimkana kabisa na kusema pale yupo kama wageni wengine, mama yake Ali Kiba alipoulizwa nae akajibu hamfahamu binti huyo kama mchumba wa mwanae... Jokate alipofuatwa alishindwa kujibu lolote na kukimbia