Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Ilikuwa ni kwenye sherehe za Ali Kiba kupata tuzo ya MTV Ema na Ali Kiba alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Jokate alimkana kabisa na kusema pale yupo kama wageni wengine, mama yake Ali Kiba alipoulizwa nae akajibu hamfahamu binti huyo kama mchumba wa mwanae... Jokate alipofuatwa alishindwa kujibu lolote na kukimbia


Jokate njoo kwangu, nitakutambulisha ukoo mzima! Kila event yangu wewe ndo utakuwa mwenyekiti!
 
Kiba seems to be using smthn not treating him well,bangi..sidhan macho meupee,pombe labda lkn siamin saana,kama powder flan hiv,...tuombe isiwe hivo..about jokate..kama alihimili "mguu" wa hasheem...na anakiri hakuna mwanaume kama hashim kwake..kiba anaperepetwajeee?....nawaza tu guyz!
 
Back
Top Bottom