Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Siku 40 kwa kujifungua kawaida
Miezi 4-6 kwa operation.

Mama anyonyeshae hawezi pata mimba ndani ya miezi 6 labda awe abnormal...
Asante sana Dr kumbe nitakula papuchi kiustarabu kwajili ya mshono Ila siyo mimba.Miezi 4-6 Mingi sanaa
 
mkuu kama huna michepuko kumbuka alikuwa na siku 280 bila kukazana kwa raha, mara maji ukeni yamepungua, mara anaambiwa unanuka kijasho fulani hivi wakati umetoka kuoga, mara style hii utamuumiza mtoto, mara hukojoi mie nahisi unagonga kichwa cha mtoto, mara dokta kaniambia nipumzike, mara maziwa na matako yanauma usiyaguse naumia sana.. hahahhahahaha plus 40 days zinakuwa 320 si kitu rahisi.

ushauri wangu, angalia afya ya mama na mtoto, mgongano unaanza taratibu taratibu ila unatakiwa uvumilie sana maana watoto wachanga ukiweka kichwa tu anageuka au anaguna mama kashabadilisha mawazo utasikia baadaye tutafanya mume wangu eee.. hiyo ndo wiki ijayo.. maana baadaye mara wageni, mara kitoto kinalia tu, bhaaa!!

Malezi mema na itunze ndoa yako mkuu..
Asante mkuu nitaangalia ikibidi nitafute Ka division
 
A

napata vizuri sana tu. wanawakwe hawafanani, mwingine akikaa mwezi tu baada ya kujifungua anarudi katika mzunguko wake wa mwezi kama kawaida. sasa hapo unategemea nini kama siyo mimba. Mwingine hadi aache kunyonyesha ndo anarudi katika mzunguko. Kuchukua tahadhari ni muhimu sana.
Sawasawa mkuu
 
Mwenzenu niliambiwa nikae miezi 6 hivyo hivyo.
Saivi ni siku ya 50 hali imekua mbaya nimeamua kurudia punyeto, nasikitika maana kabla sijaoa ilikua ndio mchezo wangu nilivyooa nikaacha saivi nimepata mtoto nimerudia tena. Japo naona ni dhambi vile Ila heri hio kuliko kutoka nje.
 
Endelea na punyeto miezi sita sio mbali

K yako hiyo utashindwaje kuvumilia miezi 6 wakati utakuwa nayo hadi uzeeni
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Tafuta mchepuko kama unanye.ge sana au vp piga puchu kipindi hiki mpk miezi 6 ipite au lah kanunue maCD ukipooze ndio hapo utaona umuhimu wa machangu kipindi hiki
 
Mwenzenu niliambiwa nikae miezi 6 hivyo hivyo.
Saivi ni siku ya 50 hali imekua mbaya nimeamua kurudia punyeto, nasikitika maana kabla sijaoa ilikua ndio mchezo wangu nilivyooa nikaacha saivi nimepata mtoto nimerudia tena. Japo naona ni dhambi vile Ila heri hio kuliko kutoka nje.

mkuu nakushauri mfate mkeo kama yupo karibu hata kusugulia kichwa cha kikojoleo chako kwa kikojoleo cha shemeji ni punyeto mbadala. ila mwambie ugumu na changamoto unazopitia..
 
Back
Top Bottom