Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Baada ya siku 42.
Duh! Hiyo miez 3 yote ya nini?!
Zingatia njia za uzazi wa mpango pia.
 
Kwa afya bora ya mtoto na mama miezi 6 itapendeza kama alizaa Kwa operation. Ila kama kawaida miezi 3-4 si mbaya.
 
mkuu kama huna michepuko kumbuka alikuwa na siku 280 bila kukazana kwa raha, mara maji ukeni yamepungua, mara anaambiwa unanuka kijasho fulani hivi wakati umetoka kuoga, mara style hii utamuumiza mtoto, mara hukojoi mie nahisi unagonga kichwa cha mtoto, mara dokta kaniambia nipumzike, mara maziwa na matako yanauma usiyaguse naumia sana.. hahahhahahaha plus 40 days zinakuwa 320 si kitu rahisi.

ushauri wangu, angalia afya ya mama na mtoto, mgongano unaanza taratibu taratibu ila unatakiwa uvumilie sana maana watoto wachanga ukiweka kichwa tu anageuka au anaguna mama kashabadilisha mawazo utasikia baadaye tutafanya mume wangu eee.. hiyo ndo wiki ijayo.. maana baadaye mara wageni, mara kitoto kinalia tu, bhaaa!!

Malezi mema na itunze ndoa yako mkuu..
nimecheka..haaa
 
Kuna kabila moja kanda ya ziwa ni mila kabisa hiyo. Mtoto akizaliwa lazima baba aje ampandishe mama kitandani kutoka chini alipojifungulia kwa tendo hilo sasa wale watoto wa nje ya ndoa wasiokuwa na baba rasmi wa kuja kumpandisha mama kitandani huzaraulika na kataniwa kuwa ni watoto walioliwa na sisimizi chini baada ya kukosa wa kuwapandisha kitandani ( "OMWANA E' BISIS")
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Yes. Kila mwanamke ana maumbile yake na kuna sababu nyingi sana juu ya hilo. Embu chungulia google......utapata material nyingi sana juu ya hilo
 
Khaaa vijana nimewanyooshea mikono
Kwan ushauri Wa daktari unasemaje
 
Ikiwa ananyonyesha vizuri piga tu haingii kitu
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Hahahah....mkuu punguza wenge unaona sasa badala ya kuandika mimba unaandika Mumbai (kama sijakosea sasa wewe umehamia india ghafla)
 
Back
Top Bottom