Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhh mkuu embu muogope faru john bana hawezi vumilia Siku tisini nyingi bana[emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
nimecheka..haaamkuu kama huna michepuko kumbuka alikuwa na siku 280 bila kukazana kwa raha, mara maji ukeni yamepungua, mara anaambiwa unanuka kijasho fulani hivi wakati umetoka kuoga, mara style hii utamuumiza mtoto, mara hukojoi mie nahisi unagonga kichwa cha mtoto, mara dokta kaniambia nipumzike, mara maziwa na matako yanauma usiyaguse naumia sana.. hahahhahahaha plus 40 days zinakuwa 320 si kitu rahisi.
ushauri wangu, angalia afya ya mama na mtoto, mgongano unaanza taratibu taratibu ila unatakiwa uvumilie sana maana watoto wachanga ukiweka kichwa tu anageuka au anaguna mama kashabadilisha mawazo utasikia baadaye tutafanya mume wangu eee.. hiyo ndo wiki ijayo.. maana baadaye mara wageni, mara kitoto kinalia tu, bhaaa!!
Malezi mema na itunze ndoa yako mkuu..
Atamsababisha apate voda fastaUnampoteza mwenzio!
Mumbai sina uhakika ila Chennai sawa...!Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wanataka kilimo cha watoto mkuuJamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
Miezi yote hiyo inaishaje aseeJamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
Miezi yote hiyo inaishaje asee
Yote hiyo anakusubiria ?? Miezi 2 na nusu anaeza kuanza kistaarabu lakini asije akamfumua mwenzie mshonoMiezi 6
NdioKwahiyo ww ulipojifungua mwezi huohuo ukaanza kufanya?!
Ndio
Yes. Kila mwanamke ana maumbile yake na kuna sababu nyingi sana juu ya hilo. Embu chungulia google......utapata material nyingi sana juu ya hiloNaomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Hahahah....mkuu punguza wenge unaona sasa badala ya kuandika mimba unaandika Mumbai (kama sijakosea sasa wewe umehamia india ghafla)Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?