Haya naachaKo wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chini
Ipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana mantiki kiasi fulani tho!
Hakuna tusi sipendi kama kunitukana nakazwa asee naweza nikakutukana mpaka nipewe ban ya milele hauwezi kunifananisha Na MTU anaefanya chukizo mbele ya macho ya mungu Na binadamu wengine mkuu umenikosea sana napenda utani kila muda ila sii wanamna hiiHaya naacha
HayaUkitaka nikudharau na kukushusha heshima ni ulize haya maswali
Nisamehe my dearHakuna tusi sipendi kama kunitukana nakazwa asee naweza nikakutukana mpaka nipewe ban ya milele hauwezi kunifananisha Na MTU anaefanya chukizo mbele ya macho ya mungu Na binadamu wengine mkuu umenikosea sana napenda utani kila muda ila sii wanamna hii
Yameisha mkuu ila ulifika mbali sana aseeNisamehe my dear
Kwahiyo jamaa kalegea anaitaji kukazwa?
AisehhOmega na Baba yako yeye angekataliwa kumuoa mama yako kisa kabila angefanya nini?
Sijambo we mzee habari yakoHujambo Rafiki
MTC | 101| [emoji769]
Nakuheshim kwakua ID yako inasoma 2011 lazima utakua above 38 ko naweza nikakuita baba Na siheshima kufananisha akili zako namaungo ya mwanamke makamu ninaemkazaKwahiyo jamaa kalegea anaitaji kukazwa?
Habari yangu nzuri, nafurahi km hujambo RafikiSijambo we mzee habari yako
Asante we mzee nimefurahi piaHabari yangu nzuri, nafurahi km hujambo Rafiki
Hahahaha, nami nimefurahi RafikiAsante we mzee nimefurahi pia
[emoji23]Naona ni mimi tu ndio sijaelewa
Bila kusahau urangi.....Na Udini pia