Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha sema tupone babaKutaja hapana
Aiseeeeh kuyataja hapana, [emoji23]Ha ha ha sema tupone baba
Ko wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chini
Nimekuelewa
Nimejitahidi kumind my business ila umezidi mkuu
Ni sawa kabisa mkuuDah....ndiyo maana nasisitiza pamoja na kuwepo na mapenzi...Ni vizuri ukawa na mwenzi mwenye itikadi, mila na desturi zinazoendana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah...kwetu ukikuta mkuki mlangoni hakuna jinsi tena... Tena siyo dhambi wala aibu...wenyewe tunajionea POA tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena mwambie asirudie kuniambukiza dhambi ya zinaa
NakaziaNyerere alikataza ukabila
Dah...alikataza kwenye siasa na utawala banaa...ila siyo kwenye mahusiano...mbona hata yeye hakuruka kijiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyerere alikataza ukabila
We binti una busara sana sitochoka kusema una IQ kubwaHaya naacha
Nakuheshim kwakua ID yako inasoma 2011 lazima utakua above 38 ko naweza nikakuita baba Na siheshima kufananisha akili zako namaungo ya mwanamke makamu ninaemkaza
Acha kuingilia ligi isiyokuhusu tutakuvalisha ushungi
Hio 2011 Mimi ndo namaliza la saba jitahidi kua naheshima kunawatoto zako humu
Mkui nimefungua uzi kwa pupa nkajua ninaenda kukutana na hayo makabila.Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,,
WAKUU HAPA MLITOKAJE?
Tanzania ukabila upo sana, tena awamu hii ya John ameongeza na udini na ukanda, vile tu unafki umetujaa wa kujifanya hatuioni hiyo hali.Nyerere alikataza ukabila
Wacha nikuheshimu tu ila ninamdomo mchafu nikiwa nyuma ya keyboard wacha yapite tu brother ila sipendi kutukanwa Leo nakaa kimyaDuuuh kumbe we ni katoto
Ndio maana umekaa kinafki nafki sana huenda kweli unafikishwa
SawaWacha nikuheshimu tu ila ninamdomo mchafu nikiwa nyuma ya keyboard wacha yapite tu brother ila sipendi kutukanwa Leo nakaa kimya
Ila usirudie kunitusi Mzee maana nauhakika utakimbia
Poa poa kakaSawa