Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

Mmh tangu feb2018 ulipotoa kishika uchumba huja oa tu?
Rai yangu vishika uchumba vipigwe marufuku maana inasababisha watu kukalishana mda mrefu na kupunguza kazi ya kutongozwa
 
"Marufuku kuniletea kabila la kihaya nyumbani kwangu"

Alisikika mama ake cessie akitamka hayo maneno
 
mimi dada zangu wanasema huyu mtu wako mchaga shauri yako??alafu sasa nimezaa nae na nampenda sana nikawajibu simple tu kuwa naweza kumuacha ila tu ni pale ambapo ninyi mtaniletea mke wa kuoa.....kuanzia siku wako kimya kabisa
 
Back
Top Bottom