Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

Ila kila linasemwa lipo yapo makabila ndoa ni shubiri kaz kwako
 
samahani mkuu wewe ni me au ke
Ko wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chini
 
Duuuh kumbe we ni katoto

Ndio maana umekaa kinafki nafki sana huenda kweli unafikishwa
 
Duuuh kumbe we ni katoto

Ndio maana umekaa kinafki nafki sana huenda kweli unafikishwa
Wacha nikuheshimu tu ila ninamdomo mchafu nikiwa nyuma ya keyboard wacha yapite tu brother ila sipendi kutukanwa Leo nakaa kimya
Ila usirudie kunitusi Mzee maana nauhakika utakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…