1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #81
KweliDah....ndiyo maana nasisitiza pamoja na kuwepo na mapenzi...Ni vizuri ukawa na mwenzi mwenye itikadi, mila na desturi zinazoendana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa mkuu, watu walimwelewa vibayaDah...alikataza kwenye siasa na utawala banaa...ila siyo kwenye mahusiano...mbona hata yeye hakuruka kijiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio mkuuWazazi mpaka leo wanaingilia mapenzi ya watoto
Dah orodha yako matatuMkui nimefungua uzi kwa pupa nkajua ninaenda kukutana na hayo makabila.
Fanya maarifa utuwekee orodha yake basi.
Dah orodha yako matatu
Ahahaha Hapa Sasa Ndio Mada InaishiaUkabila ni muhimu
Nasisitiza bia ni bora kuliko mke
Ukitaka nikudharau na kukushusha heshima ni ulize haya maswali
Bila shaka wachagga wametajwa...[emoji51]Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,,
WAKUU HAPA MLITOKAJE?
[emoji1]Bila shaka wachagga wametajwa...[emoji51]
Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,,
WAKUU HAPA MLITOKAJE?