Hi niliiyona ila kuna kitu niligundua..
Kwanza ni kama walipanga aje aseme hivyo na hicho ki clip alikitumia kwenye vipindi na matangazo yake kuwa jumapili ni siku ya kugawa hela na kuwainua waumini.. hapa tayari kashalenga jambo lake(Watu watamaa wanafurika kanisani).
Pia Ukitizama video zake anaonyesha channel 10 aisee ki ukwel ni uwongo uwongo uwongo.... Mtu eti unapewa maiki ukiwa popote alafu kabla hujaongea kashataja jina lako na kutaja unashida gani (maana yake ni maono anasema anaona)
Kondooo bado watapigwa sana.