Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mchungaji anapomkana Mungu kisa kaulizwa hela 😄
Cheza na hela wewe
Cheza na hela wewe
fuatilia media zilizotangazaUshahidi uko wapi?
Ningekua mchungaji, uyu mama ningechapa kibao😂Alimpa laki sita, akasema tena Mungu kasema amuongezee laki
Mtumishi katoa Kibunda?Binti kapiga dy/dx 🤣
Sina uhakika, lakini wachungaji walivyo masungura hawachelewi kupiga integral hapoMtumishi katoa Kibunda?
Kakutana na tapeli mwenzake😂
hapo injili itanyooka😅😅Kakutana na tapeli mwenzake😂
HahahahaW
hapo injili itanyooka😅😅
Mbona hii ilishawekwa humu?Mungu kasema unipe laki sita 🤣🤣🤣
View attachment 3438823