Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

yeye hajawahi kuchepuka tangu waoane au kwasababu tu hajakamatwa. unafikiri mwanamke atakayekaa naye ambaye hata hajamzalia watoto atakuwa mwaminifu milele? huyo huyo kama ameonyesha kutubu na kujutia, endelea naye tu, kwani ulimkuta bikira? si wenzio walipiga sana ulikuta makapi tu?
 
Tatizo hapa sio kuchepuka, tatizo ni kuchepuka na rafiki yako tena nyumbani kwako. hivi mbona miezi mitatu ni michache, alishindwa nini kujizuia.
 
Tatizo hapa sio kuchepuka, tatizo ni kuchepuka na rafiki yako tena nyumbani kwako. hivi mbona miezi mitatu ni michache, alishindwa nini kujizuia.
ulitaka achepuke na boss, au na mkata majani ya ng'ombe?
 
Nimesoma andiko zima sijaona muendelezo wa huyo Rafiki a.k.a Mlaji....usiniambie yeye yupo somewhere amekunja nne naendelea na maisha yake raha mustarehe, nyie huku ndio mnaisoma namba.
 
Lao moja.
We vunja ndoa anza mahusiano mapya ukianza kushindana na walimwengu utapotea hata Mathayo inasema Uzinzi tuu ndio utakaowatenganisha wanandoa.
Na ww uwe msafi pia
 
Mama atakuwa anajua utamu wa kuchepuka
 
Fanya kumsamehe mkuu.....wanaume tuliumbwa kuongoza na sio kuwa followers .....unapofanya maovu aliyofanya ina maana ww n follower wake ..... just think great ....msamehe tu kwan bnadamu wanamapungufu meng sana .......stand as man ...atakua ameona kosa alilofanya........msamehe ili nawe usamehewe kwa uliowah kuwakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best comment ever...

You are very matured guy... Yan from ushauri wako tu unaonekana how matured u are a very very big respect for u mkuu....

Kwa jamaa kama unataka kufata ushauri this is last resort man...

Gals cheat for lobe unlike man's huyo hafai kuitwa mke ndani within ur bed... Hapana man fanya maamuzi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifanya kwa siri ndani kwake alafu chumbani kwake....

Man kuchapiwa mke kunaumaaa hata mkishauri asamehe hilo doa halifutiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu mmoja jua ......

Gals cheat for love na mwanamke anacheat kwa mwanaume ambaye anaweza kukureplace na love....

Mkuu shituka hamna mtu hapo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada ulianza kutoa ushauri vizuri lkn umeharibu mwisho huyu jamaa aondoke mwache huyo Dada na hiyo nyumba cha msingi nikuhakikisha wanapata haki zao za msingi
 
Dada ulianza kutoa ushauri vizuri lkn umeharibu mwisho huyu jamaa aondoke mwache huyo Dada na hiyo nyumba cha musings nikuhakikisha wanapata haki zao za msingi
 
easier said than done.
 
Women are the keepers of our houses, akibomoa ndo bas tena.
 
Mu
Much of theory than practical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…