Hata mimi ni mtu mzima lakini suala la kunyonya maziwa hunielezi kitu... hata sisi watu wazima tuna haki ya kunyonya.. zamani hata sie tulikuwa watoto... huyu mama vipi anaudhi.Mbona kuna attractions nyingi tu ambazo hata watu wazima wanazifurahia? Akaanzishe Disney land ya kwake aweke hayo masharti yake.
Hata mimi ni mtu mzima lakini suala la kunyonya maziwa hunielezi kitu... hata sisi watu wazima tuna haki ya kunyonya.. zamani hata sie tulikuwa watoto... huyu mama vipi anaudhi.
Pale wapi tena mkuu... nazungumzia maziwa ya kopo yale yenye chuchu... πHahahahaha pale mahali bomba sana Mkuu.
Pale wapi tena mkuu... nazungumzia maziwa ya kopo yale yenye chuchu... π