TANZIA Mama Anna Makete, Mwenyekiti UWT Kinondoni Afariki Dunia

Sa itakuaje hajatiki okitoba
 
Yule kaolewa kwenye Kingdom ya Hangaya akitokea Familia ya Chifu Luvanda wa Matamba - Makete

Hakuna wa kumroga

Huyu mama ndio alimleta Mchungaji Msigwa Iringa mjini na akampa mtaji wa mitumba

Kitambo sana πŸ˜‚
Mwongo weee!
 
Chadema wanaroga balaa
 
Tujitahidi kuishi kwa kutenda mema. Hili linaweza kumtokea yeyote hata wale wanaoreka na kuua wenzao au hata wale wanaoamrisha watu kutrkwa, kuuawa, kuwabambimia kesi.

Tuombe hekima ya Mungu, atufumdishe kuzihesabu siku zetu.

Poleni sana wafiwa. Mungu awajalieni moyo wa ujasiri katika kipindi hiki kigumu sana kwenu.
 
kila nafsi itaonja umauti bila mihemko wala chuki

Wale wanaoteka na kuwaua wenzao, na wale wanaoamrisha na kuidhinisha uovu huo, hawaujui huo ukweli. Hekima yao imefubazwa wakiona wamezungukwa na ulinzi na kila huduma, basi huamini kuwa wao wametengwa na kifo. Tuwaombee ili waijiliwe na hekima ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…