M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kifo ni kifo tu.kila nafsi itaonja umauti bila mihemko wala chuki
Kifo ni kifo tu.kila nafsi itaonja umauti bila mihemko wala chuki
Najua tutakua wote hapa 2075 tukijadiri Dira ya Maendeleo 2100, pole kwa wafiwaInasikitisha sana
Kivipi?Inasikitisha sana
Kvp nn? Huoni kuna kifo au?Kivipi?
Yes,Kifo ni kifo tu.
It's about time, kifo ni kifo tu. Hata muungano nao ufe tu kwani kifo ni kifo tu.Yes,
hakuna haja ya kiherehere wala drama kwenye kifo 🐒
Mbona kitambo sana.RIP mama Hangaya
1980s alikuwa na Bar maarufu pale Iringa mjini Mlandege
Dah....pole sana Bro Adam na Sis Lily 😎Inasikitisha sana