Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
sasa unamsifu mama kwa nini usipate nafasi hiyoUnaelewa maana ya UWT?
sasa unamsifu mama kwa nini usipate nafasi hiyoUnaelewa maana ya UWT?
Apumzike kwa Amani huyu MamaMwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, Anna Makete, maarufu 'Mama Makete' amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi Katibu wa UWT Wilaya Kinondoni, Aziat Juma amesema kuwa taarifa za kifo chake walizipokea mchana wa leo Julai 21, 2025.
"Tumepata pigo, alikuwa kiongozi na mama kwenye malezi na alikuwa anakipenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) na alikuwa hataki kuona mtu yeyote anakichafua chama na kufanya mambo kinyume na miiko ya chama," amesema.
Aziat amemuelezea kiongozi huyo kuwa wakati wa uhai wake alikuwa anapenda kusimama kwenye miiko ya chama na alikuwa mama mwenye hofu ya Mungu.
"Tutamkumbuka daima kama kiongozi bora wakati wote mwenye kujua miiko ya uongozi na kuyatenda kwa vitendo na kuzingatia utu," amesema.
Aziat amesema wakati wa uhai wake marehemu aliwahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho ikiwemo mjumbe wa Kamati ya Siasa mkoa na Mwenyekiti wa UWT ngazi ya wilaya kwa vipindi vitatu tofauti.
Kada wa chama hicho, Wilaya ya Kinondoni, Amina Shaaban amesema taarifa za kifo zake wamezipokea kwa mshtuko mkubwa wakiwa kwenye shughuli ya kuhesabu kura za madiwani wa viti maalumu.
"Sijui nimzungumzie namna gani, lakini ni mtu ambaye alikuwa anatupambania ilikuwa hata ukimuendea unahitaji nafasi fulani anakupigania na inakuwa sasa ametwaliwa .." amesema Amina
Kwavile kuna ndizi kwenye makalio ya mama yako aliyekuzaa, unafikiri kila mtu yuko hivyo?We una ndizi mkunduni, km huwezi siasa tuliza hayo makalio
Unakujua mlimba.?Unaelewa maana ya UWT?
Kama huko huko uje na mchele ni dili nilikoUnakujua mlimba.?
Kama Kuna bwawa Lina mamba karibu hapo watupieni mzoga wa fisiem huo wanenepeChadema wanaroga balaa
Kama siyo pepo la shetani anayekunywa damu za watu, basi utakuwa na tatizo la kisaikolojia, au yote mawili.Huwa akifa kijani najisikia kiroho kwatu. Sijui nina pepo mie?!!
Shangazi yangu Tlaatlaah nafasi Yako Iko wazi hapo UWTkila nafsi itaonja umauti bila mihemko wala chuki
Tumbo mponza Tako ujueKama huko huko uje na mchele ni dili niliko
Wewe inaeleke upo longtime Mbezi, mpaka bar zake unazijua.Yule kaolewa kwenye Kingdom ya Hangaya akitokea Familia ya Chifu Luvanda wa Matamba - Makete
Hakuna wa kumroga
Huyu mama ndio alimleta Mchungaji Msigwa Iringa mjini na akampa mtaji wa mitumba
Kitambo sana 😂
Hivi kwanini walimu wanapenda kufuga nywere hivyo anyway R.I.P mamaMama Makete afariki dunia, UWT wamlilia
Jumatatu, Julai 21, 2025
![]()
Kumbe .Tumbo mponza Tako ujue
Acha ubaguzi wa kijinsia,we pana kufaa sana.Unaelewa maana ya UWT?
Pale kulikua na kumbi ya harusi na sio baa,Wewe inaeleke upo longtime Mbezi, mpaka bar zake unazijua.
Lakini mbona unaficha kuwa alikuwa mke wa pili wa Hangaya!
Basi we mgeni Mbezi, hakuanzia hapo.Pale kulikua na kumbi ya harusi na sio baa,
Nipo huku toka 1992 na shule nimesoma kawe aBasi we mgeni Mbezi, hakuanzia hapo.