TANZIA Mama Anna Makete, Mwenyekiti UWT Kinondoni Afariki Dunia

Apumzike kwa Amani huyu Mama
 
Picha tafadhari kwa tusiomjua anyway Rest in EAZY Bi Anna Makete
 
Yule kaolewa kwenye Kingdom ya Hangaya akitokea Familia ya Chifu Luvanda wa Matamba - Makete

Hakuna wa kumroga

Huyu mama ndio alimleta Mchungaji Msigwa Iringa mjini na akampa mtaji wa mitumba

Kitambo sana 😂
Wewe inaeleke upo longtime Mbezi, mpaka bar zake unazijua.
Lakini mbona unaficha kuwa alikuwa mke wa pili wa Hangaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…