Mama asisumbuliwe kwenye suala la bandari. Marais waliopita waliuza krb kila kitu, yeye kaaamua kumalizia kilichobakia

😂😂😂😂 bora umeongea ukweli, kila mtu ataangalia maslai yake.
 
So wewe unabariki Viongozi wa Africa kuuza rasilimali za nchi kwa wageni?
 
Unaambiwa na wanaopinga hawapingi uwekezaji Bali taratibu za uwekezaji na namna Dp word alivyopatikana. Walitaka watangaze kutafuta mwekezaji. Kampuni zitume maombi ya wazi. Atakeshinda ndio apewe na mikataba iwe wazi.
Lkn ulizia Nani aliyepita aliyebinafsisha kwa uwazi?

Hakuna. Kama Ni kuiba aibe tu maana tunaaminishwa kila anayefanya kwa Siri Ni mwizi. Na bandari za Zanzibar kamwachia mwinyi Nayeye apige mahesabu yake
 
Taratibu zilifuatwa na wataalam wazalendo wa masuala ya usafiri wa maji walijiridhisha moja kwa moja juu ya ukubwa na uzoefu mpana wa kampuni ya DP World hawakukurupuka tu kufikia muafaka.

Pia kampuni hii inamiliki mizigo mingi kule Rwanda na DRC hivyo kuipitisha bandarini kwa njia ya SGR kutaongeza mapato maradufu. Uendeshaji wa bandari kisasa ni zaidi ya ushushaji na upakiaji wa makontena melini unajumuisha usafirishaji wa mzigo kutoka unapozalishwa, kuupakia melini na kuushusha huko unapopelekwa..
 

So aachwe kisa marais wengine walifanya the same?
If hii ndio logic yako, taifa lina hasara
 
KWA HIYO KAUZA?
 
Swala sio Dp kuwa dunia nzima. Hii kampuni Ni waingereza iliyofunguliwa na wanatumia kila njia kumiliki bandari zote duniani. Hasa mashariki
 
Sio kweli hao wazungu. Wameangalia aina ya serikali ndo maan wameamua kufungua makase maana kila anayefungua analipwa ,hizo kes hazikuws hivyo magu alihakikisha ukipewa kitalu unakiendelez sio unakishikilia tuuu hapo
 
Swala sio Dp kuwa dunia nzima. Hii kampuni Ni waingereza iliyofunguliwa na wanatumia kila njia kumiliki bandari zote duniani. Hasa mashariki
Huwezi kukwepa ubepari katika karne hii, cha muhimu ni kuangalia kipi kinachopatikana huko TRA na urahisishaji mzima wa ushushaji na upakiaji wa makasha pale TPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…