Wapigaji ni washabiki wakubwa wa Mama wapigaji wakubwa ni familia ya kikwete na Mwigulu. Wengine ni Wanzibari ambao ni wafaidika wakubwa wa uongozi wa Mama. Usalama wa taifa, balozi nchi zilizoendelea na sehemu muhimu sasa zinawekwa wapigaji au wanzanzibari.
Watu wenye nguvu sasa kutolewa
Makamu kutogombea
Waziri mkuu kutogombea
Gwajima kukatwa
Mpina kukatwa
Polepole kustaafu na kutishiwa
Lissu kufugwa
Chadema kuzuiliwa kufanya mikutano
Mwigulu , IGP na kukwete kuwa mabilionea wakubwa
Kama wewe ni chawa na unafikiri wanakujali wewe pole sana
Watu wenye nguvu sasa kutolewa
Makamu kutogombea
Waziri mkuu kutogombea
Gwajima kukatwa
Mpina kukatwa
Polepole kustaafu na kutishiwa
Lissu kufugwa
Chadema kuzuiliwa kufanya mikutano
Mwigulu , IGP na kukwete kuwa mabilionea wakubwa
Kama wewe ni chawa na unafikiri wanakujali wewe pole sana