Mama atumia picha ya binti yake kuwasiliana na wanaume mtandaoni

.....Brian alichukua bunduki yake na kwenda kwa rafiki yake. Akamdanganya na kwenda naye kwenye parking ya Magari kisha rafiki yake akiwa amempa mgongo akamlamba shaba ya utosini na kummaliza pale pale....

Mkuu hapo kwenye kumbutua utosini ndipo nilipostuka kwamba inawezekana ulitafsiri vibaya au ndo zile punch newz...
 
Mi nilishawahi kutongoza dem fb kumbe ni mwanaume anatumia picha ya Dem, ila nilishtuka badae maana mwanaume ni mwanaume tu ukimletea mada za kumgonga lazma abadilishe mada[emoji23]
Badae wadau walikuja kumpata mmiliki halali wa zile picha na akasema haitambui ile accnt
 
Nimeandika vibaya alimshoot toke nyuma risasi ikaingia kwenye kichwani tokea nyuma.
 
Mi nilishawahi kutongoza dem fb kumbe ni mwanaume anatumia picha ya Dem, ila nilishtuka badae maana mwanaume ni mwanaume tu ukimletea mada za kumgonga lazma abadilishe mada[emoji23]
Badae wadau walikuja kumpata mmiliki halali wa zile picha na akasema haitambui ile accnt
alitaka akupge pesa
 
Hujui kutongoza wewe.

Unamtafta na ukimpata mnamalizana naye kibingwa
 
alitaka akupge pesa
Alikua anajidai mtoto wa kishua ase yule manzi alikua ni mkal akawa anajiita iren, akawa anatangaza products zake muda mwngne na alikua akipost ndani ya dakika nne tu alipata cmnt karibu 50 na likes 100+, yani Kwanza ukimchek tu unasema huyu mimi siwez kumpata kwahiyo aliiniingizq kwenye mtego wa kunipiga hela tena hela ndefu kutokana na hadhi yake, bahat nzur wadau wakagundua ukweli kuwa ni kidume
ila na mimi nilisha Anza kuhisi hatari kabla
 
Alikua anajidai mtoto wa kishua ase yule manzi alikua ni mkal akawa anajiita iren, akawa anatangaza products zake muda mwngne na alikua akipost ndani ya dakika nne tu alipata cmnt karibu 50 na likes 100+, yani Kwanza ukimchek tu unasema huyu mimi siwez kumpata kwahiyo aliiniingizq kwenye mtego wa kunipiga hela tena hela ndefu kutokana na hadhi yake, bahat nzur wadau wakagundua ukweli kuwa ni kidume
Hahaha yani mimi mpaka mtu anipige ela kwa njia hiyo sijui awe amefanyaje yani... uwa nina machale makali sana, na uwa nafanya reverse photo searching,
 
Mkuu ukichat na mwanaume anae jidai Dem kuna maneno flan hiv akiyatumia ni lazma tu uhisi yani lazma machale yakucheze kuwa huyu siyo manzi labda uwe boya
 
Kwanza madem wote warembo uwa wanaringa sana ukiona demu mrembo easy go jua kuna mashaka, halafu connection ya marafiki zake lazima awepo watu wanaomfahau na wameandika kama wanamfaham, mfano kama ni fb utakuta comment za madem wenzake wakimkubusha juu labda ya urafiki, shule good times, au wanamuulzia kitu
 
Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha.

Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata Inbox wakimtongoza, mmojawapo akiwa Brian, ambaye alikuwa na umri wa miaka 45, akiwa na mke na watoto wawili. Mama alimkubari na wakaendelea kuwasilaina mtandaoni, na Brian wakiwa wanachat kwenye chatrooms huku wakiwatambia members wengine. Uhusiano wao uliendelea kwa muda mrefu pasipo kuwahi kukutana kwasababu walikuwa wanaishi miji tofauti.

Brian alikolea kwa penzi la mtandaoni kiasi kwamba, akaamua kumwambia siri hiyo rafiki yake aliyekuwa akifanya kazi naye ofisi moja. Rafiki yake huyo ambaye naye alikuwa member wa mtandao huo, alitambulishwa kwa huyo mpenzi mpya wa Brian, kumbe naye akaanza kumtamani.

Kila siku akawa anachat naye pasipo Brian kujua.

Baada ya muda mapenzi ya huyo mama yakahamia kwa rafiki yake Brian, akamwambia kuwa hamtaki tena ameanza kumpenda rafiki yake. Brian aliumia sana akaona kama amesalitiwa sana lakini alivumilia.

Lakini hawakuishia hapo, hao wawili waliendelea kuonyesha mahaba kwenye chatrooms (ni kama magroups kwenye whatsapp yalivyo kwa wale waliowahi kutumia the grid, yahoo messenger, mig33 enzi hizo mtakuwa mnaelewa).

Hilo suala lilimkera sana Brian, akaona isiwe kesi, akaamua kufanya jambo juu ya hilo. Usiku mmoja, Brian alichukua bunduki yake na kwenda kwa rafiki yake. Akamdanganya na kwenda naye kwenye parking ya Magari kisha rafiki yake akiwa amempa mgongo akamlamba shaba ya utosini na kummaliza pale pale. Hakuishia hapo usiku huo huo akawasha gari na kuanza sfari ya kuelekea kwenye mji alipokuwa anaishi yule mama aliyehisi ni binti.

Huku nyuma polisi waligundua mauaji yale, na kutambua mtekelezaji wa mauaji hayo, walienda mbali zaidi kwa kuchunguza computer ya Brian na kugundua nini kilipelekea kufanya mauaji hayo, hivyo wakawa na hofu kuwa huenda Brian anamfuatilia yule dada hivyo uhai wake uko mashakani.

Ikabidi wawataarifu askari wa mji huo wawahi kumweka dada katika sehemu salama, polisi wakaelekea mpaka kwao yule binti, nyumbani wakamkuta mama yake, na kumwambia kuwa mwanae yu wapi.

Akawambia kuwa yuko shule, ikabidi wamweleze kuwa yuko hatarini kutokana na wivu wa kimapenzi. Mama akaona haina haja bora awaeleze ukweli. Ndipo alipowambia kuwa yeye ndiye aliye nyuma ya ile picha na wala mtoto wake hajui lolote kuhusu lile.

Polisi walipigwa butwaa, na kushangaa inakuaje mzazi anafanya vile.

Mwisho wa siku Brian alikamatwa kushtakiwa na kufungwa.

Mama Hakushitakiwa na mtoto anasema mama yake alikuwa anatabia anamfuata na camera anamwambia aweke pozi mbalimbali saa nyingine akiwa kavaa nguo ya kulalia nyepesi anampiga picha bila kujua anzipeleka wapi.

Kuna watu wanatumia identies za watu wengine sana mtandaoni, sometimes dume lajifanya jike.
Bongo ipo sana tuu... usitume nauli..
 
Hahaha yani mimi mpaka mtu anipige ela kwa njia hiyo sijui awe amefanyaje yani... uwa nina machale makali sana, na uwa nafanya reverse photo searching,
Kila tapeli ana mnyonge wake ipo siku usiyoijua utakutana na konki master utapigwa tu.
 
Kwingine labda ila mtandaoni I doubt that... Kila kitu ambacho ni too good uwa kinanipa mashaka lazima nifanye background research bila mhusika mwenyewe kujua
 
Hongera kwa kuwa makini, ila kumbuka kila tapeli ana mnyonge wake
 
Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha.

Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata Inbox wakimtongoza, mmojawapo akiwa Brian, ambaye alikuwa na umri wa miaka 45, akiwa na mke na watoto wawili. Mama alimkubari na wakaendelea kuwasilaina mtandaoni, na Brian wakiwa wanachat kwenye chatrooms huku wakiwatambia members wengine. Uhusiano wao uliendelea kwa muda mrefu pasipo kuwahi kukutana kwasababu walikuwa wanaishi miji tofauti.

Brian alikolea kwa penzi la mtandaoni kiasi kwamba, akaamua kumwambia siri hiyo rafiki yake aliyekuwa akifanya kazi naye ofisi moja. Rafiki yake huyo ambaye naye alikuwa member wa mtandao huo, alitambulishwa kwa huyo mpenzi mpya wa Brian, kumbe naye akaanza kumtamani.

Kila siku akawa anachat naye pasipo Brian kujua.

Baada ya muda mapenzi ya huyo mama yakahamia kwa rafiki yake Brian, akamwambia kuwa hamtaki tena ameanza kumpenda rafiki yake. Brian aliumia sana akaona kama amesalitiwa sana lakini alivumilia.

Lakini hawakuishia hapo, hao wawili waliendelea kuonyesha mahaba kwenye chatrooms (ni kama magroups kwenye whatsapp yalivyo kwa wale waliowahi kutumia the grid, yahoo messenger, mig33 enzi hizo mtakuwa mnaelewa).

Hilo suala lilimkera sana Brian, akaona isiwe kesi, akaamua kufanya jambo juu ya hilo. Usiku mmoja, Brian alichukua bunduki yake na kwenda kwa rafiki yake. Akamdanganya na kwenda naye kwenye parking ya Magari kisha rafiki yake akiwa amempa mgongo akamlamba shaba ya utosini na kummaliza pale pale. Hakuishia hapo usiku huo huo akawasha gari na kuanza sfari ya kuelekea kwenye mji alipokuwa anaishi yule mama aliyehisi ni binti.

Huku nyuma polisi waligundua mauaji yale, na kutambua mtekelezaji wa mauaji hayo, walienda mbali zaidi kwa kuchunguza computer ya Brian na kugundua nini kilipelekea kufanya mauaji hayo, hivyo wakawa na hofu kuwa huenda Brian anamfuatilia yule dada hivyo uhai wake uko mashakani.

Ikabidi wawataarifu askari wa mji huo wawahi kumweka dada katika sehemu salama, polisi wakaelekea mpaka kwao yule binti, nyumbani wakamkuta mama yake, na kumwambia kuwa mwanae yu wapi.

Akawambia kuwa yuko shule, ikabidi wamweleze kuwa yuko hatarini kutokana na wivu wa kimapenzi. Mama akaona haina haja bora awaeleze ukweli. Ndipo alipowambia kuwa yeye ndiye aliye nyuma ya ile picha na wala mtoto wake hajui lolote kuhusu lile.

Polisi walipigwa butwaa, na kushangaa inakuaje mzazi anafanya vile.

Mwisho wa siku Brian alikamatwa kushtakiwa na kufungwa.

Mama Hakushitakiwa na mtoto anasema mama yake alikuwa anatabia anamfuata na camera anamwambia aweke pozi mbalimbali saa nyingine akiwa kavaa nguo ya kulalia nyepesi anampiga picha bila kujua anzipeleka wapi.

Kuna watu wanatumia identies za watu wengine sana mtandaoni, sometimes dume lajifanya jike.
So kwakifupi alikuwa CATFISHED....
 
Ndio maana nakwambiaga watu wananionea sana humu,yani mara nyingi naonekana mimi tu
Samahani kama ntakukwaza ila hujaona mijipicha yoote kwa internet ukaona uchukue hiyo beautiful face uji impersonate nayo. Huu ni ulimbukeni. Yaani unajua kabisa wanaume wa humu jf wata make a move. Yaani sometime kuna vitu vinashangaza mpk vinakera.
Mwisho kabisa narudia tena. Samahani Sana km nimekukwaza numeongea tu ya moyoni.
 
Back
Top Bottom