Mama atumia picha ya binti yake kuwasiliana na wanaume mtandaoni

 
Huyo mama noma sana.
Ameondoa uhai wa mtu kwa kufikirika tu!
Binadamu tuna matatizo makubwa!
 
Kuna wazazi fyatu sana isee!

Nilisoma sehemu pia kuwa, kuna mama mmoja alikuwa akijiuza kwa wanaume wakiwa pamoja na mwanaye wa kike!

Wakipata mteja wanaenda kumdunga visu na kumpora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…