Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.Angenipa Mimi huyo mtoto
Msaidie tu bro ! Mungu atakuongezea unapotoaYupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.
ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).
Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.
Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.
nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!
Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.
The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.
Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa
Tukutane PMThe story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

I did my best for two days. Lakini nimeona ninakoelekea naweza nunua matatizo.Jaribu kumfariji fariji na kumpa vimisada vidogo vidogo angalau kumpunguzia maumivu na kuokoa hicho kiumbe.
Jipe muda wa kuongea na wazazi wake juu ya kiumbe kuteseka na mtoto wao kuteseka, wazee wanaweza kuelewa na kumsitiri binti wao. Jipe muda pia kumpigia huyo mme wake na kumuelewesha anaweza kuelewa na kuwa muungwana akatake care ya mtoto pia.
Mungu azidi kukubariki mnoI did my best for two days. Lakini nimeona ninakoelekea naweza nunua matatizo.
nimewasiliana na baba yake (ex captain wa JWTZ), mzee ana masheria kibao hataki hata kumsikia mwanae.
nilimuomba basi amtumie nauli ili angalau mtoto akalelewe na bibi yake, akawa kidogo ameelewa lakini baadae amekata mawasiliano
mkuu huyu mama ananiangalia tu mimi kwa sasa, naogopa nisije nikaingia kwenye matatizo maana mumewe yuko hapo tu karibu. Huyu mama anasema walishapelekana mpaka dawati la jinsia lakini jamaa anakaza.
mtoto wao wa kwanza ana miaka 7 lakini yuko tu nyumbani hajaanza shule
kama wazazi ndio hao wamemzira mtoto wao kisa kaolewa kama mke wa pili, sasa mimi mtu baki naweza nunua kesi
I did my best for two days. Lakini nimeona ninakoelekea naweza nunua matatizo.
nimewasiliana na baba yake (ex captain wa JWTZ), mzee ana masheria kibao hataki hata kumsikia mwanae.
nilimuomba basi amtumie nauli ili angalau mtoto akalelewe na bibi yake, akawa kidogo ameelewa lakini baadae amekata mawasiliano
mkuu huyu mama ananiangalia tu mimi kwa sasa, naogopa nisije nikaingia kwenye matatizo maana mumewe yuko hapo tu karibu. Huyu mama anasema walishapelekana mpaka dawati la jinsia lakini jamaa anakaza.
mtoto wao wa kwanza ana miaka 7 lakini yuko tu nyumbani hajaanza shule
kama wazazi ndio hao wamemzira mtoto wao kisa kaolewa kama mke wa pili, sasa mimi mtu baki naweza nunua kesi
Anao wawili kwa huyo dada.Bila shaka Baba yake yuko na mama yake..kwa maana yake mzazi na huyo binti...
Kama iko hivyo jipige umpe nauli aende mpaka huko then wakamfukuze, damu ni nzito wakimuona wanaweza kupata huruma hasa mama....Huyo mwanamme mwenzetu naye PUMBAVU unawezaje kutelekeza mtoto wa 7yrs....? basi chukua watoto wako muache dada wa watu aende zake....Hao watu wa dawati nao watoe amri huyo jamaa akamatwe wawe wakali kidogo...au waitwe ndugu zake wachukue jukumu la watoto..Pumbavu kabisa...
Msaidie mpeleke dawati la jinsia.Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.
ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).
Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.
Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.
nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!
Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.
The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.
Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa
Inshaallah!Msaidie tu bro ! Mungu atakuongezea unapotoa
Dah,huyo jamaaa amezingua sana.,sasa si bora ahudumie hata watoto tu.Inshaallah!
Hofu yangu ni kwamba wazazi wamekuwa kama wamemtelekeza mtoto wao, niliongea na baba mtu nae kanirushia kitu kizito kichwani, anasema kama naona vipi nikae nae... Bullshit!
Picha zake na mwanae ikiwezekana na namba nitaziweka muda si mrefu kama akiridhia
Fanya hivyo mkuu ni heri kuliko kuchangia mbio za mwenge.Inshaallah!
Hofu yangu ni kwamba wazazi wamekuwa kama wamemtelekeza mtoto wao, niliongea na baba mtu nae kanirushia kitu kizito kichwani, anasema kama naona vipi nikae nae... Bullshit!
Picha zake na mwanae ikiwezekana na namba nitaziweka muda si mrefu kama akiridhia
Muweke hapa tena ziende viral mtandaoni ili waziri wa ishu za jinsia na watoto aone. Mbona wanaume wengine wanakuwa machiziiiInshaallah!