Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

Huyo mama amesoma mpaka level gani Mkuu, kama akipata ajira itamsaidia
Mzee wake kaniambia amehitimu masomo ya kidato cha nne tu.
hakuendelea, ndio akarubuniwa na huyo jamaa..
 
Wanawake bwana, utafikiri huwa hawajui wakipigwa dudu moja ya matokeo ni kupata mimba isiyo na address...

Wao huwa wanaona raha tu kukata mauno, kutaka dudu iingie yote, akili huanza kurudi pale siku zao zinapokosekana...
 
Hiyo ni Police Case. Ripoti Police haraka sana. Ni mhalifu mbaya sana huyo.
 
Huku mbeya kuna nini?
Halafu si wanasema ndio mji umezungukwa na zile nyumba za ibada?nyingi?
Imekuwaje tena
 
Vipi ukitumia mmama kuongea na wazazi wake?
Mkuu mzee wake kwa jinsi nilivyo ongea nae, bado anatumia mamlaka yake ya ukepteni wa jeshi kuendesha familia

Nilijitahidi kuongea nae siku ya kwanza na ya pili, ili amsaidie binti yake jamani ili tuokoe huyu mtoto lakini hajaeleweka zaidi ya kuniambia matatizo kayatafuta mwenyewe.

Natamani hata nipate mwana JF yeyote wa Mwanza mwenye uwezo amsaidie apate nauli arudi kwao akalelee huyu mtoto huko.

mimi hapa pesa sina niseme ukweli
 
Mkuu msaidie huyo Dada nenda Polisi mwenyewe uonane nao,umsaidie!.
 
Unamdanganya ww, aende polisi ili iweje yani. Polisi wenyewe ndo wale tunaowafahamu. Watamchomesha kwa mwenye mke aonekane snitch matokeo yake yampate ya kumpata bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…