Mama BIG kiboko ya wanawake mavuvuzela

Wapi Baba Gift, Roya, Bigirita, Rose, MwanajamiiOne, Asprin
i'm watching!....

mi kazi yangu ni ''kuwarashi'' majumbani kwenu!na huwa naitumia vyema sana nafasi hiyo.....!muulizeni roya
 
Chama kitu gani darling we njoo tu wajua unachokipata tatizo lao wamezoea kupuliziwa mavuvuzela na wake zao

Mimi mgeni mjini jamani naomba msaada. Mwanamke kumpulizia vuvuzela mumewe ndio kufanyaje?
 
i'm watching!....

mi kazi yangu ni ''kuwarashi'' majumbani kwenu!na huwa naitumia vyema sana nafasi hiyo.....!muulizeni roya

Tuna mpango wa kuajiri taxi driver wa kudumu...
 
i'm watching!....

mi kazi yangu ni ''kuwarashi'' majumbani kwenu!na huwa naitumia vyema sana nafasi hiyo.....!muulizeni roya

NOTED WITH THANKS, NAONA HUWA UNAKUWA LAST MAN STANDING

The Following User Says Thank You to Baba Gift For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Tuna mpango wa kuajiri taxi driver wa kudumu...

Itasaidia kupunguza inconvenience za watu kuchukua majukumu mikononi mwao:smile-big::smile-big::smile-big:

The Following User Says Thank You to Baba Gift For This Useful Post:
The Finest (Today)​
 
NOTED WITH THANKS, NAONA HUWA UNAKUWA LAST MAN STANDING

The Following User Says Thank You to Baba Gift For This Useful Post:

The Finest (Today)​
ndo hivyo mkuu!...
mtu akijifanya ''family-man'' mi namchapa kwa ''bakora hiyo hiyo'....!
pole sana roya-uchwara!nimekuzidi akili
 
Hivi Mama Big,

Samahani kama nitakukwaza - Umeshahama mitaa ya Sinza/Mwenge karibu na "kwa afande"?
 
ndo hivyo mkuu!...
mtu akijifanya ''family-man'' mi namchapa kwa ''bakora hiyo hiyo'....!
pole sana roya-uchwara!nimekuzidi akili

Na kimiminika cha raundi ya mwisho unakataa kabisaa kwa madai kuwa unawahi kuliko wenzako na ndipo watu wanachukua sheria mkononi
 
rrrrrrrrrrrrrrhhhhhhaaaaaaaaaaaa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…