Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Tumia tafsida acha matusi bana hili jukwaa huru toa hoja kistaarabu, mbona mwataka kuharibu Uzi kah, moderator wa sikuhizi wako likizo naona
 
Inawezekana hamisa alimkosea yule mama kitu ambacho yule mama hajakisahau bado. Kwanini amchukie kiasi hicho. Cha muhimu afuate ushauri wako sio lazima kung'ang'ana na hiyo familia. Aache uruba
Hamisa naye Hasikii hivi bila hyo familia hawezi ishi, huyo mama alinchukia mobeto baada ya kumuitia shilawadu, mbaya zaidi diamond naye anamuimbia vijembe, ajifunze kwa tanasha na zari. Mimi simlaumu mama dangote kabisa
 
Kwahiyo Binamu umenitukana mimi au ni aliyetoa mimba tatu za diamond tena analazimishwa kuzitoa maana diamond alikua royal kwa zari au unamtukana nani hasa

Namtukana huyo hoe misa binam sio wewe mpenzi wangu [emoji23][emoji23]
 
Sasa unafuata nini kwa mtu asiye na akili , hiv inajielewa kweli mbwa wewe kasoro mkia, una laana ya mama ako mbwa wewe
@Moderator why mnaacha wavuta bangi hawa wanatukana ovyo..
 
Hivi mtu unakua unajiskiaje unapomuona Mama yako anatumia jina la Mwanaume mwingine ambaye sio mume wake ili hali waume wake wapo hai?
 
Huyu mama anaroho ngumu. Dah Mondi atapata shida kupata mke kwa mama kama huyu
 
Ebwana eh
Nendeni taratibu basi humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Ebwana eh
Nendeni taratibu basi humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Ngoja nimuonyeshe show huyo nimkumbushe kidogo mie ni nan humu , Naona atakua amesahau wadhifa wangu
 
Hapana, mimi pia ananikera huyu binti sijui Dai alimpa nini yaani full kujikomba
Khantwe Hata Kama anakosea ila sio kwa kumchukia hivyo sisi wote Ni binadamu Kuna maala tunapatia ila sometimes tunakosea so Hakuna haja ya kuchukiana kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…