Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Sijui Hamisa anakwama wapi? Kuna vitu huwa havina maana kuviongea

Habari ya kutojibiwa msg na mama wa mzazi mwenzie na habari ya mimba3 kutoka zimemshushia sana heshma yake

Umri bado mdogo apambane na mambo yake aachane na familia za watu
 
Kama angekua anajielewa should ongea kuhusu yeye na kazi zake tu,hayo mambo ya kutoa mimba sijui mara diamond kaenda kumchukua soo upuuzi yani,halafu at the same time she is befriending tanassha sasa mwenzie atajisikiaje, kama kaamua kuwa na urafiki na mke mwenzie aache tabia za kuzungumzia Diamond,sidhan kama tanasha anajisikia poa
 
You can take the girl out of the village but you cant take the village out of the girl😁😁😁
 
Uliyeandika hii thread wewe ni "ke" au "me"???
Kama ni "Ke" umepona!
Kama ni "Me" nikukute gerezani haraka sana ukiwa umeshapakatwa na mnyampala
 
Kama kamtolea uvivu ni jambo la kheri kwa Hamisa mbona huo uvivu aliokuwa nao ulikuwa unamrudisha nyuma, ukimuona Mama Dangote mwambie aje hapa anitolee uvivu mbona nataka kupiga kazi kweli kweli niwe kama Mjomba Shamte
 
Dangote ni brand name ya cemebt zaje toka mtwara.
Dangote cement.
Mamba ilikuwa brand name ya Kobe Bryant, je inamzuia mtu kujiita mamba.
Halafu Dangote ni jina kama Shabani au juma, mtu yoyote anaweza kulitumia isipokuwa kibiashara napo ni pale tu ambapo atakuwa kalisajili kimataifa au nchini kama brand name.
 
Uko sahihi 100% so dangote ni brand name as u asked
 
Lin hyo , ban ya dakika moja?? , mwambie aendelee this time atapigwa ban Mwaka mzima kenge nyie
Mende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kungini
 
Mende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kungini

Babuu we bwana hakutak kaja kwangu hasira za nini ? Hujui kuosha K inanuka, bwana Niko nae nampa papa, pole weee shost, upo nyonyo
 
Mende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kungini
Haaaaa Haaaaa 😂 halooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…