Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Baba zenu wangetafuta pesa msingekua mnajidhalilisha kwa wanaume maskin wakubwa nyie

Kwahiyo Binamu umenitukana mimi au ni aliyetoa mimba tatu za diamond tena analazimishwa kuzitoa maana diamond alikua royal kwa zari au unamtukana nani hasa
 
Unaumwa wewe unafikiri kisa wewe ukisikia habari za diamond mbaya unapanik ndio kila mtu. Nimekuambia YOU ARE OBSESSED WITH ZARI.
Nimekuwa obsessed na Zari kivip? Ukisoma Uzi wa mtoa unaona kabisa ana hasira na Hamisa mobetto kisa tu Hamisa alicheat na Diamond
 
Hana Aibu huyu Binti. Juzi Kati alikuwa anahojiwa hapo Wasafi TV kaanza kusema pooh nilishapata mimba 3 (tatu) diamond zote zikaharibika. Ya NNE ndio akazaliwa huyu Dylan ambae tulimfanyia DNA kuzibitisha Baba yake ni Dai. 100% ikawa proved. Sijui mimba moja iliharibika tuliposafiri kwenda Nchi gani sikumbuki. Why all these details!!??
Lazima aseme mtajuaje kama anakizazi na kinatoa majibu? Wengine hata moja yakusingiziwa hawajapata hivyo anawarusha wenzie
 
mbona wao hawatuigi sisi?ulishawahi kusikia nigeria kuna mtu anajiita mwamakula,mkude,bakhresa,mengi,mo dewji,kinjeketile,urio,sanga,ngonyani?
Majina hayo huko kwa wenzetu wanashindwa kuyatamka ndiyo maana hawayatumii
 
Huyu mama huyu mtu gani ana vinyongo haviishi jamani

Haya nilisema tusiokuwa na team tujisomee comments tu kwa wenye team zao

Haya sasa yametimia
Kweli wengine tusome tu na kupita [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua anakutaka angekutambulisha as formal girlfriend sio mchepuko, li hamisa linakera Sijui aliyemrogaga nani, anaona maisha bila domo hayaendi.

Yani bila aibu linajiaibisha eti aliomba namba ya mama domo amtakie happy birthday, akamtumia message hakujibu, yan anataka tujue ye Ndo yuko karibu sana na Diamond .

Hakuna Mwanamke mwenye kihere here na mwanaume akaja kuolewa, mbona lulu kachumbiwa na anakaa na mchumba wake hanaga huu ushamba kama wako halafu wewe ni Mama sasa unatakiwa ukue, unavyomshobokea domo unadhan kuna mwanaume atakuja kukuoa, akili zako sio nzuri .

Toka nimemfahamu Lulu sijawahi kuona anajipendekeza kwa wanaume, and she has dated the most powerful n rich men kuliko hata huyo unayemgombania na hakutaki, msichana mzuri ila unajishusha thamani mxieew domo kama kwapa la bundi

View attachment 1601908
Kwa tuliokula chumvi kiasi tunamuona mama domo hamnazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom