exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamama wa uswazi ni shida, ingekuwa mie ni dangote ningefanya juu chini mazeri atanitafutie "baba" wa hadhi yangu...sio kijana kijana wa levo za shamte...aibu.Shamte Anamwaga Maji Ya Kunywa Mengi [emoji1][emoji28][emoji52]🤣[emoji23][emoji16][emoji16]
Kwanini mkuu?
Labda kamlinganisha na mama lwakatare, ila kila siku anaenda kuomba hela ya mafuta kwa mwanae
Mmmh!! Mi hua namwangalia huyo mmewake2 mpaka nabakia kucheka 😃😃😃 kama mtu na mkwewe yaani mumewe Esmah smah
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu eti ni mama mwenye ushawishi mkubwa hapa Tz 🤣 🤣 🤣
Siku zote maisha ni kama gwaride, ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza.
Licha ya utajiri na ustaa alionao Bi. Sandra, enzi za ujana wake alishafanya sana kazi za ubaamedi na inavyosemekana hata Mzee Abdul alimkuta kwenye kazi hiyo hiyo ya ubaamedi.
Licha ya ubaamedi, Bi. Sandra aliwahi kuwa mnenguaji kiuno maarufu enzi hizo na alikuwa tishio balaa, bendi kibao zilikuwa zinahitaji huduma yake.
Lakini Mungu hamtupi mja wake, leo hii ukizungumzia wamama wenye mkwanja mrefu basi lazima kwenye hiyo listi Bi. Sandra awepo licha ya kudharaulika sana enzi za ujana wake. Mbaya zaidi kutimuliwa kama mbwa na aliyekuwa mwandani wake, Mzee Abdul.
Hili ni funzo tosha kwenye maisha tusidhalauliane humjui huyu unayemdharau leo kesho atakuwa nani.
Bi. Sandra alidharaulika sana kwa kufanya kazi ya ubaamedi na unenguaji lakini leo hii ndo mwanamama mwenye ushawishi zaidi hapa nchini na hata akitaka agombee ubunge ni rahisi sana kupita kutokana na kukubalika na kundi kubwa la watu.
Ndio wewe mama 'daimondi'?= Tusidharauliane