Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Umenifanya nicheke japo umeongelea issue serious.Nakubaliana nawe.Mama aheshimiwe,wametuvumilia sana.Pole na hongera kwakuwa mama.By the way,mambo poa tu.Mwachipolopolo inakukumbusha nini mlipokuwa shule?

hahaha mama mnoko had umri huu..nakumbuka enzi hizo kuna bar maarufu moja sinza kumekucha..bas tukifika hapo meneja wa bar alishatukalili bas anaweka hziO mambo ah acha kbs
 
hahaha mama mnoko had umri huu..nakumbuka enzi hizo kuna bar maarufu moja sinza kumekucha..bas tukifika hapo meneja wa bar alishatukalili bas anaweka hziO mambo ah acha kbs
Mama kama mnoko ujue alikuwa anakuandalia ustawi wako wa baadaye. Bila shaka umemshukuru baadaye. Umetaja Sinza, mambo iko Sinza-kumekucha.
 
Ningoja nisome comment tu za wale wanaopangia watu namna kuishi na namna ya kutumia pesa zao
 
Anayemzibua mama hapa ni yupi mkuu? Hebu weka maelekezo vizuri.
 
Haha Mungu anakuona we dada... Mwanamke na mwanaume wanasagana
Ni mwanaume kwa jinsia ila kwa nafsi si mwanaume.... mbona ipo sana hiyo wala sio jambo la ajabu, gay na lesby kudate! inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…