Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo nyuma nyuma kwenye msafara huo wa bata la Dubai.

View attachment 936627
[emoji108] Ila shamte kakaangu Ivi huon aibu umemwacha mke wako Angela anateseka mtoto ww unakula bata na hela za dimond anavozitafuta kwa nguvu zote jukwaan anatoka majasho ww unameza tu kuna siku utaombwaView attachment 936622View attachment 936623
Wanaume wa dar bwana unadin-daje kwa kimama kama hicho kisa kupenda vitu vya bure bila kufanya kazi!
 
Back
Top Bottom